Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'


wewe ni mpumbavu halafu mjinga mkubwa
 
Wakenya wakosawa ukitaka kuwajua shithole wenzangu wanapinga kuambiwa ukweli mfano sisi shithole bongo magufuli kachota hela kaenda kujenga uwanja kwao tena pesa ambayo hakuridhiwa na vikao vya bunge wala tenda haikutangazwa hadharani kaenda kujenga uwanja kwao bado tunaendelea kumpigia makofi na kumfananisha na watakatifu wa mungu,wakti huohuo akitutukana tukilalamika maisha magumu
 
Amekubaliana na ststement tayari kwa kuwa Trump, kwa kiasi kikubwa kasema UKWELI. Miinchi mingi ya kiafrika ni miku*du (SHITHOLES) tu.
Wewe nawe, acha zako maana yake si hiyo. Shithole ni 'slang' ya kiingereza inamaanisha a 'shabby and dirty place' 'a totaly disorganized place'. Kama akili yako. 😀
 
Nina uhakika hajasema maana hakuna uthibitisho wa audio au video
We Jamaa ndo msemaji wa white state,mbna unatetea mno kauli za udgalilishaji hivyo,inahtajka uchukie hata awe hajasema au amesema,kiongozi mkubwa kama yule haitajiki kusikika tetesi za kijinga kama zile,hv husomi vitabu vya dini kwamba bwana kaesar alimuacha mkewe kwa tetesi ya uzinifu,ijapo alikuwa Na ushahid tosha wa kuwa Mkewe si mzinifu,if you need more prefer to the books
 
Yes. Mke wa mfalme hatakiwi hata kuhisiwa uzinifu.
 

So unategemea tutokwe na mipovu kwa kitu ambacho hakina ushahidi, hakuna hata mtu mmoja ameweka ushahidi wowote hadharani kwamba Trump kasema. Pangekua na ushahidi kama ule wa Mkapa kuwaita nyie malofa basi hapo tungetokwa na mipovu na kulaani na kulialia na kusema sema, lakini kwa sasa kila mtu amekurupuka na makelele bila ushahidi wowote.

Msemaji wa serikali alikua anajibu swali aliloulizwa kuhusu maoni yake ya hilo tusi, na akasema wazi kwamba wanalifanyia uchunguzi na hadi sasa hawajaona shida yoyote maana kiukweli hamna ushahidi zaidi ya dezo dezo, sasa ulitegemea afanye nini, alie au naye amtukane Trump.
 
Mi naona Kenya wako vizuri, hawajataka kurupuka kweye kitu ambacho si kweli na tusi halimuachii mtu lawama
Kuambiwa ukweli sio tusi. Ikiwa wewe ni kipofu, na mtu akuita..we kipofu njoo, je amekutusi au ndio sifa yako?


Unajua impact ya political image katika masuala hayo kama nchi?

Kenya mko pamoja na mimi anae bisha juu ya hili kwaniaba y'all trump narudia yeye ni "SHITHOLE
 
Narudia tena viongozi wa Afrika, uongozi na nchi zao ni pithole
 
Kuambiwa ukweli sio tusi. Ikiwa wewe ni kipofu, na mtu akuita..we kipofu njoo, je amekutusi au ndio sifa yako?
Sass Kama unajua ukiambiwa ukweli siyo tusi kwanini umind kuitwa kipofu wakati wewe ni kipofu.think twice blood.

Narudia tena wanao mpinga trump hao ndiyo ma "shithole in did"
 
Okay let us put in this way. Your father and mother are shitholes. Vipi hapo?
 
Okay let us put in this way. Your father and mother are shitholes. Vipi hapo?
Ikiwa kweli ndivyo babako na mamako Annael nao kiukweli ni shitholes utakataa?
 
Ikiwa kweli ndivyo babako na mamako Annael nao kiukweli ni shitholes utakataa?
Hapo unanirudishia mpira mimi tena? Nimeuliza swali? Jamaa anawaita baba yako na mama yako kuwa ni shitholes itakuwaje? Utachekelea na kusema huyu jamaa kasema poa kabisa.

Hata kama mpo na ugomvi na wazazi, mtu mwenye malezi ya maana ata mind.
 
Kenya imeelimika tofauti na tanzania..kuna lugha isemayo what other says about you its non of your business..hiki ndio kitu kinachowasaidia wao...cc huku serikali inafanya kila baya kwa ajili yetu lakini hatupazi sauti..ety leo trump mtu wa mbaaaaali kbsa ambae hata hatuusu kwa ubaya na anaweza akatuhusu kwa wema tupaze sauti..ndo ujinga wa tanzania ndio maana tunahimizwa elimu x3..
 
Sass Kama unajua ukiambiwa ukweli siyo tusi kwanini umind kuitwa kipofu wakati wewe ni kipofu.think twice blood.

Narudia tena wanao mpinga trump hao ndiyo ma "shithole in did"
Huo ndio ukweli.
Kiongozi utaumizaje waliokuchagua ikiwa wew sio pithole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…