eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Sasa wewe ndio bure kabisa kuliko huyo waziri.
Kwa sababu.
Trump alichokiongea ni kina ukweli ndani yake.
Watu hawataki kusikia maneno yenye ukweli siku zote.
Trump anaongea mambo ambayo huku afrika mnayaongea kila siku na mnayapigia kelele kila siku.
Nchi za afrika ni shithole.
Ni ukweli kabisa. Hutaki hamia europe
wewe ni mpumbavu halafu mjinga mkubwa