Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

View attachment 1719211

Huu umbea wa Balgeen Abdul na sakata la hirizi hapa Manara ndo kanidindisha masikio, masikio yamesimama utafikiri zile kofia za Mama Rwakatare[emoji23][emoji23], ila kaniudhi mxieew badala yakutupatia umbea full anatupatia nusu nusu, ananipa assignment nzito wakati Warumi mie siku hizi nimeokoka
Aisee!
 
Tujadili hili ... "Je anasingiziwa..?"[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwani mkuu mwanahabari katoa habari ajagusa maisha ya ndani ya manara, kwann manara anakuja na personal attack?? Kwani hirizi ni nini bana, wengi wafitini kazini kwene Biashara, mitaani tunapoishi wengine warogi adi wanaua kuna shida gan Mau kutembea na bima ya afya???
 
Ila raha ya ndoa iwe na Uke wenza full kupeana challenge[emoji23], bi mkubwa akinunuliwa prado , bi mdogo wataka Range Rover , sitaki mie warumi

Ila binamu hakuna mwanaume mtamu duniani kama mume wa mtu , wana ka utam flan hiv special na wanajua kuhonga balaa[emoji23]
Binam nipm tafadhali...
 
Nimekuambia kuwa Matendo yake ni Threat kwa Usalama wa hizo nchi? Pimbi mkubwa Wewe. Matendo yake ni Hatari Kibaiolijia na Kiafya mno tu.
Pimbi baba yako aliyekuzaa, mwanaume hatishii kusema siri za mwanaume mwenzake yeye anapasuka tu, ni watoto wa kike ndio hutoa angalizo kama la kwako.
Kama nyinyi na huyo kiazi mwenzenu mna jambo la maana la kusema mngekuwa mshatoka hadharani zamani sana.
Tunachotaka kuwaambia hamna la kumfanya Kitenge kwenye hii kesi ya kijinga.
 
Huu mjadala unatia aibu kweli, aisee wanaume tunaaibika kijinga kwa upuuzi wa wanaume wachache.
Tufike mahali chama cha wanaume tuweke mikakati ya kuwatandika mikwaju wanaume wenye tabia za kuabishana mitandaoni.

Aaaah wanaume wenzenu wamewasaliti wanatak dudu na tyakoo
 
Back
Top Bottom