cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu nyie wafukunyuku lol.Huyo mwenye suti ya bluu anaonekana ana mawazo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu nyie wafukunyuku lol.Huyo mwenye suti ya bluu anaonekana ana mawazo sana.
Ndo lilipo bifu lao. Hizi nyingine ni kipitio tyuuh. LolHawa wamechukuliana mabwana sio bure
Hii story mtu wa kwanza kuiripoti ni mtangazaji mmoja wa EAST AFRICA na baadae ikafika kwa Kitenge.. Kwani huyo Morrison ndio mchezaji wa kwanza kugombana na kocha katika dunia ya mpira..? Acheni mambo ya kishambashamba..Ni taarifa ambayo bado ya moto moto kabisa ya kama dakika 15 tu zilizopita
Tumekuvumilia mara nyingi sana lakini kwa sasa uvumilivu umetushinda,
Kwanini kila siku ni ww tu kuiongopea Simba mambo ya uongo?
Unaitumia mara kadhaa @wasafifm kuelezea migogoro hewa kuhusu Simba na kutaka kuichafua klabu yetu Kwa maslahi yako binafsi!!
Umekuwa ukifanya hvyo hata ktk Wall zako.
Utadhani Wasafi ni redio yako binafsi.
Simba haitaki iandikwe na kutangazwa kwa mazuri tu, Waandishi na watangazaji wana haki ya kutukosoa Kwa mabaya pia kama tumeyafanya,,,,lakini haitavumilia tena story za uongo na kutunga ambazo hazina source, na zimejaa uzushi.
Ndugu yangu diamondplatnumz ongea nae huyu mtu,,tulio nje tunaona hana nia njema na ustawi wa uwekezaji ulioufanya, nadhan nia yake ni kuona Wasafi fm inakuwa na ugomvi na Wanasimba, na mimi sitakubali kazi niliyopewa na klabu hii ichafuliwe na mtu huyo huyo kila siku,,vinginevyo labda anataka Wanasimba waisuse kusikiliza hii redio, kitu ambacho mimi ntakuwa mtu wa mwisho kukisema, ukizingatia mahusiano yangu binafsi na wewe.
But akiendelea kututangaza uongo na kuandika uongo juu yetu na wachezaji wetu,zipo hatua‘Makhsuus’tutazichukua!!
Simba ni klabu kubwa mno haiwezi kumuogopa mtu mmoja Kwa chuki zake binafsi kutuchafua kila siku,,
Nipo hapa kuisemea klabu hii na kuitetea Kwa nguvu zangu zote hadi pale ukomo wangu utakapotimia ,,
Na ktk kipindi changu mm kama head wa idara ya habari na mawasiliano kwenye klabu hii, sitakubali story za upumbavu na za uongo dhidi yetu Kwa sababu yoyote ile. Narudia tena hili likijirudia la uongo uongo iwe Kwa wachezaji, makocha au viongozi na hata timu Kuna hatua’ MAKHSUUS’ tutazichukua!
Nani miongoni mwetu atakaekubali taasisi anayoingoza ichafuliwe?
Wanasimba hii ngoma kwanza niachieni mimi labda huyu mtu hajajua how Simba is BIG
Kaona tunapata matokeo kila mahali na kaona Simba imetulia anaanzisha uongo wake,,Safari hii nnae na akibisha aendelee.
Hata hivyo na Mimi All - Rounder nakulaumu mno Msemaji wangu wa Simba SC Haji Manara na Uongozi mzima wa Klabu yetu kwa Kumvumilia mno huyu Mpuuzi na Mshamba ambaye najua kuwa anatumika na Mmoja wa Wadhamini wa hiyo Klabu yake iliyolaaniwa katika Kuichafua Simba SC Kupitia hiyo Redio ambayo Yeye ndiye Mkuu wa Idara ya Michezo kisha kuwekwa katika payroll yao.
Uongozi wa Wasafi FM hasa kupitia CEO wake mwenyewe Nasib Abdul (alias) Diamond Platinumz msipokuwa makini na huyu Mtangazaji wenu Maulid Kitenge mnaweza kujikuta mnapoteza Audience Kubwa sana na hata Wadhamini kwani nina uhakika kuna Corporate Companies zingine Mabosi wao ni wana Simba SC hivyo wanaweza kuamua Kususa Kutangaza na Wasafi FM yenu (yako)
Kwa wale mnaotaka kujua nini kimetokea ni kwamba leo hii katika Ukurasa wake wa Instagram Mtangazaji Maulid Kitenge tena baada ya kusikia Simba SC imetoka Suluhu dhidi ya El - Merreikh ya Sudan ( japo Yeye tunajua alitamani kweli kweli Simba SC ifungwe ) ameandika Kiuzushi kabisa kuwa Mchezaji Mghana wa Simba SC Bernard Morisson ana Ugomvi na Kocha Gomez na kwamba ataihama Simba SC.
Maulid Kitenge unachokitafuta Simba SC na hasa kwa wana Simba SC wote (Mimi All - Rounder) nikiwemo utakipata kwani Umeonywa vya Kutosha naona husikii na bado unawashwawashwa tu na Simba SC. Nadhani umeshasahau ulivyoitia matatizoni Radio One ulipokuwepo kule kwa Upuuzi huu huu wa Uzushi na Kuchochea Vurugu Simba SC hadi Ukaonywa na Marehemu Mzee Mengi kisha Mzee Profesa Sarungi (mwana Simba SC ) akaingilia kuipatanisha Simba SC na Radio One kupitia IPP Media.
Binadamu bwana, Basi tu. Unavyomjua Kitenge undani wake, wapo wanaokujua wewe undani wako kuliko hata unavyojijua wewe mwenyewe, wakiyafukunyua ya kwako utashangaa ndugu yangu. Ushauri wangu mambo ya Simba na Yanga yasitufanye kuishi maisha ya luchukiana na kutishiana hivi, siyo vizuri ndugu zangu. Tujaribu kuzuia hii mihemuko tuliokuwa nayo. Hizi timu zipo tangu Zama hizo na zitaendelea kuwepo tu, sisi Kama watz tushabikie hizo timu kwa staha tusiiehatarisha amani kisa ushabiki. Ni mtazamo wangu tu, kuenda kinyume na maono yangu rukhusa.Ni Mnafiki sana na pia ndiyo Sifa Kuu ya karibia 99.9999% ya Mashoga wote Ulimwenguni.
Watu weusi tuna roho mbaya tuWanyamwezi wana tabu.
Yule alikuwa Minister ya utalii naye ni kama Kikanga wa Wasafi.
Majungu Mwanzo mwisho.
Huyu zeruzeru kumbe jinga hivi halijui kutofautisha tetesi, tetesi nikitu chochote kile haijalishi usajili au mchezsji kagombana na kocha kumbe huyu akili hana kabisaPost ya manaraView attachment 1719455
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwisho wa siku waje kusema amekufa kwa coronaPole ndugu! Maana hicho kijiba kilichokukaba chaweza kukufanya usipumue vizuri, jifukize ndugu. Usiku mwema.
Nichafue nikuchafue!!Binadamu bwana, Basi tu. Unavyomjua Kitenge undani wake, wapo wanaokujua wewe undani wako kuliko hata unavyojijua wewe mwenyewe, wakiyafukunyua ya kwako utashangaa ndugu yangu. Ushauri wangu mambo ya Simba na Yanga yasitufanye kuishi maisha ya luchukiana na kutishiana hivi, siyo vizuri ndugu zangu. Tujaribu kuzuia hii mihemuko tuliokuwa nayo. Hizi timu zipo tangu Zama hizo na zitaendelea kuwepo tu, sisi Kama watz tushabikie hizo timu kwa staha tusiiehatarisha amani kisa ushabiki. Ni mtazamo wangu tu, kuenda kinyume na maono yangu rukhusa.
Heheheheh pambeeeh tyuuuh. Mambo ya uke wenza yana wenyewe haya lol.
Kwenye Mpira Kuna rumors na gossip ndo Raha ya mpira Sion kosa la kitenge tuachen ujingaKuna Watu wanamjua kindakindaki kuhusu Maisha yake, Uhalisia wake na Upuuzi pamoja na Upumbavu anaofanya huko anakosafiri nje hivyo Watu hao nao wakiamua Kufunguka tafadhali asije Kuwalaumu.
Na tunajua yakianikwa ayafanyayo huko huenda hata nchi husika zisimpokee tena au Mamlaka za Tanzania zikamuita kwa Mahojiano nae zaidi. Asilazimishe Watu hao wanaomjua ( siyo All - Rounder Mimi ) wakafika huko.
Alafu ni mjinga kwenye football kuna gossip na rumors mbona hatuoni vilabu vya ulaya vikikashirika tatizo la manara upeo mdogo sana na ni mjingaManara usipende kugombana waandishi wa habari kila wakati mara Prisca anaihujumu simba nara Dauda anaihujumu simba mara Kitenge una natatizo fani unapenda kumrukia kila mtu Mwakalebela alipowakilisha ujumbe wake kwa Tff kutoka kujitoa mara ukarukia kumjibu Mwakalebela as if wewe ndio msemaji wa Tff hivi hukumbuki ulipojifanya msemaji wa familia ya Mo pale alipotekwa nini kilikupata lazima ujitafakari huwezi kudanganya watu kwamba wewe ndio mkereketwa wa simba kushinda wote nakuhakikisha vita na Kitenge unajisumbua utashindwa na kuabika
vita na Kitenge unajisumbua utashindwa na kuabika
Acha ushamba mfano pierse Morgan ni mshabiki kindakindaki wa Arsenal na still anakula mikataba minono kwenye media tatizo kubwa la Tanzania exposure ndogo, kitenge ametoa habari kosa lake ni nin tuacheni mambo ya kiswahiliTusifike huko tafadhali Ndugu ila abadilike na ajifunze kwa Wenzake akina Jesse John, Mzee Swedi Mwinyi, Ibrahim Masoud, Omary Katanga, Tigana Lukinja, Goza Chuma, Ahmed Abdallah aliyenae hapo hapo Wasafi FM na Mcheza Karate Mahiri Amri Masare ambao wanajulikana Klabu zao pendwa wanazozishabikia ila hakuna hata Siku moja wakiwa katika Vipindi vyao utaweza kujua wapo wapi wakiwa ama Wanatangaza na hata katika Kufanya Uchambuzi vile vile.
Bora Sisi Wajinga wengi kuliko Wewe Mpumbavu Mmoja.Kwenye Mpira Kuna rumors na gossip ndo Raha ya mpira Sion kosa la kitenge tuachen ujinga
Tatizo la manara anaaminigi Yuko sahii kuitukana yanga, lakin ilitokea kwa Simba anakua mbogo in short hajui maana ya utaniAkizidiwa anakuwa lialia ili aonewe huruma. Fala sana huyu yeye anavyoishambulia yanga mbona anapotezewa.
Kwenye Mpira Kuna rumors na gossip kaa ukijua Hilo na ndo Raha ya mpiraBora Sisi Wajinga wengi kuliko Wewe Mpumbavu Mmoja.
Sasa kama Wewe ni Mzungu ( Kimatendo na Kitabia ) mbona unaishi nasi sote tu hapa Uswahilini Tandale Uzuri?Acha ushamba mfano pierse Morgan ni mshabiki kindakindaki wa Arsenal na still anakula mikataba minono kwenye media tatizo kubwa la Tanzania exposure ndogo, kitenge ametoa habari kosa lake ni nin tuacheni mambo ya kiswahili
Kwani mpira siumeanzia kwa wazungu we wapi unafikiri umeanzia tandale, tumeletewa na wazungu nduguSasa kama Wewe ni Mzungu ( Kimatendo na Kitabia ) mbona unaishi nasi sote tu hapa Uswahilini Tandale Uzuri?
Wakisema Watu wa Mpira wajitokeze na Punguani Mkomavu Wewe utatoka?Kwenye Mpira Kuna rumors na gossip kaa ukijua Hilo na ndo Raha ya mpira