Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Sijaona kosa la Kitende.Yeye ameripoti habari, habari ya usahihi wa habari yake na kama ina madhara kwa klabu Simba walitakiwa kuikanusha tu then Kitenge kama ni kweli angefanya kuithibitisha. Manara alipaswa kuishambulia hoja na si kumshambulia mtoa hoja.
 
Manara aache kujipendekeza kwa matajiri kwa kutumia Uspecial group wake

Halafu mwambie aache kukaa na tako moja

Halafu mwambie aache utapeli ndio maana alitimuliwa UVCCM
 
"Umesahau lile hirizi lako ulidondosha pale radio one likakuondosha kazini"
Ebu tajadili hiki kipande kwanza hayo mengine tuache wafu wazike wafu wao
Tujadili hili ... "Je anasingiziwa..?"[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wabongo mnaakili ndogo Sana, ubongo wa sisimizi
 
Kuna Watu wanamjua kindakindaki kuhusu Maisha yake, Uhalisia wake na Upuuzi pamoja na Upumbavu anaofanya huko anakosafiri nje hivyo Watu hao nao wakiamua Kufunguka tafadhali asije Kuwalaumu.

Na tunajua yakianikwa ayafanyayo huko huenda hata nchi husika zisimpokee tena au Mamlaka za Tanzania zikamuita kwa Mahojiano nae zaidi. Asilazimishe Watu hao wanaomjua ( siyo All - Rounder Mimi ) wakafika huko.
TISS wa jamiiforum[emoji28]
 
Mi nimevutiwa na huyo Boss wa USA, maana maulid nae katisha, alivyokua EFM nikasema labda safar za kikaz , alivyohamia wasafi ndo safar zikazid kuchanja mbuga, nikasema hapa kuna namna, hizi safar sio za bure
Imeisha hiyoooooh
 
Back
Top Bottom