Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli usemwe Manara hapendi Simba isemwe kabisa maana alisha gombana na Shafiii na alishagombana na EFM kisa Simba imesemwa vibaya!
Lakini lazima tukubali muda mwingine watangazaji wetu wanakosa umahiri kwenye taaluma hasa ya habari ni karibu radio zote!
Sijaona kosa la Kitenge kuleta tetesi kuhusu Morrison na ndio maisha ya soka letu kila leo sio jambo la kushangaza lakini ni wazi Manara amekuwa akivuka mipaka as if Radio zinapaswa kuwapigia magoti simba kuwaomba habari kabla hawazitoa...
Manara ana ugonjwa mkubwa wa kupenda kuonewa huruma na jamii!
Lakini hili la hirizi kama ni la kweli au uongo halikupaswa kuja public tena kupitia manara....
Siwezi kushangazwa na mtanzania kukutwa na hirizi(bima ya afya)
Anatumia ulemavu wake kama silaha, watu wakianza kumpa makavu live dunia haitapenda wala mimi sitapenda, analazimisha watu watende dhambi ndogo ndogo waende moton
Imagine mtu kama huyu View attachment 1719258
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samahan mkuu hilo mwamba ndio jina lake au unampa sifa tu mwambie.kitenge aandike habar zenye uhakika.co ajiandikie tu kwa hiyo kila cku wachezaji wa simba wanapigana na kugombana na makocha alinza kagere kisha boko leo.....
Huyu kitenge n kitenge kwel, badala ya kumotivate maendeleo yaliyopatikana simba yeye anakuw mchonganish kila siku kuchokonoa
basi ni wapuuziUnapoteza tu muda kuwafuatilia hao jamaa.hao ni marafiki wa kutupwa na wanajua wanalolifanya
Akili zao kama msemaji wao.Kwanini msimujibu kitenge kwa hoja badala ya personal attack dhidi yake suala la Morrison na nyie kudraw Sudan mbona havifungamani.lakini Morison kuondoka simba kaandika na blogger mmoja mnazi wa simba baada ya manara kuzingua kafuta kwenye blog yake y,tupunguze mihemko panapokuja maswala ya fact.
Kwahyo anawachokonoa?Huyu kitenge n kitenge kwel, badala ya kumotivate maendeleo yaliyopatikana simba yeye anakuw mchonganish kila siku kuchokonoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahyo anawachokonoa?