Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Aisee mbona nowdays hawa watu maarufu kibao mnasema ni mabwabwa kuna ukweli juu ya hili ndgu zangu?? Kama ni hivo basi hali inatisha sana mana celebrities wengi wa kiume inasemekana ni mabwabwa aisee ni noma.
Ila huyu managha anazingua sana aisee yeye aendelee kuhamasisha timu na kutoa habari za timu izo mambo za kuattack watu moja kwa moja itamletea shida baadae. Mbaya zaidi kama uyo kitenge ni muajiriwa wa wasafi , kumchafua kitenge ni kuichafua brand ya wasafi awe anapima kwanza.
Ila jamaa anaemfukunyua managha ana moyo wa chuma aisee 😂😂