Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Aisee!
 
Tujadili hili ... "Je anasingiziwa..?"[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwani mkuu mwanahabari katoa habari ajagusa maisha ya ndani ya manara, kwann manara anakuja na personal attack?? Kwani hirizi ni nini bana, wengi wafitini kazini kwene Biashara, mitaani tunapoishi wengine warogi adi wanaua kuna shida gan Mau kutembea na bima ya afya???
 
Binam nipm tafadhali...
 
Nimekuambia kuwa Matendo yake ni Threat kwa Usalama wa hizo nchi? Pimbi mkubwa Wewe. Matendo yake ni Hatari Kibaiolijia na Kiafya mno tu.
Pimbi baba yako aliyekuzaa, mwanaume hatishii kusema siri za mwanaume mwenzake yeye anapasuka tu, ni watoto wa kike ndio hutoa angalizo kama la kwako.
Kama nyinyi na huyo kiazi mwenzenu mna jambo la maana la kusema mngekuwa mshatoka hadharani zamani sana.
Tunachotaka kuwaambia hamna la kumfanya Kitenge kwenye hii kesi ya kijinga.
 
Huu mjadala unatia aibu kweli, aisee wanaume tunaaibika kijinga kwa upuuzi wa wanaume wachache.
Tufike mahali chama cha wanaume tuweke mikakati ya kuwatandika mikwaju wanaume wenye tabia za kuabishana mitandaoni.

Aaaah wanaume wenzenu wamewasaliti wanatak dudu na tyakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…