Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo neno lipo katika Biblia mara 21 huku neno Mjinga likiwa mara 13 hivyo sijaona Ugumu kutumia Kwako kwani limeshapata Baraka zote kutoka Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu.Kulikuwa na haja yeyote ya kutumia hili neno mkuu?
Kama sikuzaliwa ilikuwaje aliyekuzaa alinipata Kiurafiki nae Wewe ukiwa bado Zipuni mwa aliyekuja baadae kuwa Rafiki wa aliyekuleta Ulimwenguni hivi?Labda kama ulikuwa hujazaliwa,
Ni Suala la muda tu kwani hata Yeye Kamchoka.Ningekuwa Diamond nasitisha mkataba na huyu shoga Kitenge. Anaharibu image ya media
Aliyewadanganyeni kuwa Mtangazaji Maulid Kitenge ni Afisa Usalama wa Taifa ( Afisa Kipenyo ) ni nani?Kitenge uwa haropoki ropoki bila taarifa sahihi..Kumbuka jamaa ni afisa kipenyo...Tatizo la Msemaji wa Simba uwa unaongea bila kuwasili
Tatizo la Msemaji wa Simba uwa anaonge bila kuwasiliana na Ubongo wake mbona atayameza maneno yake mda si mrefu.....Kitenge uwa Haropoki ropoki bila taarifa sahihi...
Wenye akili tulishaidharau kitambo kumbe bado wewe tu poole.....Aliyewadanganyeni kuwa Mtangazaji Maulid Kitenge ni Afisa Usalama wa Taifa ( Afisa Kipenyo ) ni nani?
Na kama ni kweli Maulid Kitenge huyu huyu Mtopolo nae ni TISS Agent naanza rasmi leo na muda huu huu Kuidharau hiyo Idara ( Taasisi ) Muhimu Kiusalama nchini.
Unataka kusema kitenge ni wali nazi mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Himself.
Tatizo la Manara ni mdomo mkubwa wakati kichwani hana kitu.Mimi Nadhani kitenge angepewa kazi ya usemaji wa club ya yanga,anamuweza sana Manara,wazaramo kwa wazaramo..
Umevurugwa mkuu,Pumbavu nenda katika Facebook page ya Haji Manara utaipata huko na kama ungekuwa na Akili usingehoji bali ungeanzia huko ili ujiridhishe nae.
Nimekuambia kuwa Matendo yake ni Threat kwa Usalama wa hizo nchi? Pimbi mkubwa Wewe. Matendo yake ni Hatari Kibaiolijia na Kiafya mno tu.
Kitenge uwa haropoki ropoki bila taarifa sahihi..Kumbuka jamaa ni afisa kipenyo...Tatizo la Msemaji wa Simba uwa unaongea bila kuwasili
Tatizo la Msemaji wa Simba uwa anaonge bila kuwasiliana na Ubongo wake mbona atayameza maneno yake mda si mrefu.....Kitenge uwa Haropoki ropoki bila taarifa sahihi...
Manara akija Wasafi yeye anakula konaNi Suala la muda tu kwani hata Yeye Kamchoka.