Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Kitenge kaanza kumfatilia Morison muda mrefu yeye si ndiye alimtambulisha kama mchezaji wa utopolo siku ya wananchi day, anazusha makusudi ili kuleta mgogoro.
Morison aliumia siku ya mchezo wa Simba na biashara mara ila kwa tabia zake za kike amekaa kurusha umbeya.
 
Kwa nini Haji analazimisha ugomvi wake na Kitenge uhusishe Wasafi media? Kitenge ameandika alichoandika kwenye ukurasa wake binafsi! Wasafi inaingiaje hapo? Haji anatamani kusikia Kitenge ameondolewa Wasafi! Kisa tu yeye anaurafiki na Nasibu!?
 
Ata mm ndo nimeshangaa alafu Simba ni kubwa kusemwa kwa uzuri na ubaya ni kawaida tu kizuri upigwa mawe siku zote
 
Kitenge kaandika hayo kwenye ukurasa wake binafsi, kwa nini mnaihusisha Wasafi FM? Mara ngapi Haji anaandika upuuzi kuhusu Yanga kwenye kurasa zake na watu hawaihusishi klabu ya Simba? Haji anapenda kusifiwa na kuandikwa vizuri tu! Hivi karibuni amechafua ' brand' ya Yanga na bado amekuwa jeuri na kiburi zaidi! Haji ni nani nchi hii? Aache mikwara mbuzi, Simba itaandikwa na kusemwa kwa mazuri na mabaya yake!
Hongera sana hili ndo jambo ambalo nimeliona

1. Kitenge kaandika kwenye kurasa yake binafsi wala haina uhusiano wowote na wasafi

2. Kwanini muhusishe hii issue na wasafi?

3. Simba ni kubwa hakuna ubishi kuhusu hili ikisemwa kwa ubaya au uzuri ni kawaida ni speculation tu kama ni kweli ni kweli kama sio kweli sio kweli

4. Naona Haji na Kitenge ni panya na paka hawaivi chungu kimoja labda wana ugomvi wao wenyewe

5. Kwanini Haji ataki Simba isemwe mbona yeye anaisema Yanga na hakuna anae usisha mambo yake na Simba?

6. Ok sio mbaya tujaalie sio kweli Kitenge kazusha ingewachukua nini Simba kutoa officially statement kukanusha? Kama wanataka wasichafuliwe...

7. BTW Maulidi Kitenge ni nani hapa Tanzania ambae akisema kitu ni lazima ajibiwe ukimpuuza nini kitatokea napata mashaka na ukuwaji wa Simba kama kila kitu kikisemwa watataka wajibu

Nawaachia wenyewe kwangu ni kawaida ndo mpira hizi mambo lazima ziwepo ndo zinanogesha soka letu
 
Kitenge kaandika hayo kwenye ukurasa wake binafsi, kwa nini mnaihusisha Wasafi FM? Mara ngapi Haji anaandika upuuzi kuhusu Yanga kwenye kurasa zake na watu hawaihusishi klabu ya Simba? Haji anapenda kusifiwa na kuandikwa vizuri tu! Hivi karibuni amechafua ' brand' ya Yanga na bado amekuwa jeuri na kiburi zaidi! Haji ni nani nchi hii? Aache mikwara mbuzi, Simba itaandikwa na kusemwa kwa mazuri na mabaya yake!
@Twamo mwenye akili atakua amekuelewa my brother.Yaani hapo umemaliza Kila kitu[emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana hili ndo jambo ambalo nimeliona

1. Kitenge kaandika kwenye kurasa yake binafsi wala haina uhusiano wowote na wasafi...
Labda umeamua tu kutetea, sio viby kuisema vibaya ikikosea, shida ni uzushi wa taarifa, Kitenga na mkule waliwahi kuzusha kua Sven na Kagere wamepigana. Huku sio kukosoa.

Leo hii kitenge anajua yeye ni ripota anaenda kusema Morrison ana ugomvi na Gomez. Kitenge yupo kwenye tasnia ya habari muda mrefu kwa nini asiwaulize Simba sababu za Morrison kuachwa. Wachezaji wa Simba wengi tu waliachwa kwa nini wampoint mtu mmoja?

Tafuteni hbari za ukweli mkizipata kosoeni xikiwa hajijengi sio mbaya. Kuna juzi hapa huyu huyu Morrison walimzushia kua ana busha. Sasa huko sio kuisema vibaya simba, ila ni kuitungia story ambayo haipo.
 
Kuna Watu wanamjua kindakindaki kuhusu Maisha yake, Uhalisia wake na Upuuzi pamoja na Upumbavu anaofanya huko anakosafiri nje hivyo Watu hao nao wakiamua Kufunguka tafadhali asije Kuwalaumu. Na tunajua yakianikwa ayafanyayo huko huenda hata nchi husika zisimpokee tena au Mamlaka za Tanzania zikamuita kwa Mahojiano nae zaidi. Asilazimishe Watu hao wanaomjua ( siyo All - Rounder Mimi ) wakafika huko.
Punda Huyo plus bisexual. Ila pia labda kweli Morrison ana ugomvi na coach.
 
Back
Top Bottom