Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Mikia na team yao wanafurahisha sana. Wao kuisema yanga wanaona raha kweli eti saivi mikwara miingi. Sasa watamfanya nini chumvi. Saivi anamtagi mondi ili kutafuta sympathy. Ama kweli kasomea propaganda. Kitenge wewe baya la mikia sema zuri sema. Hakuna wa kukufanya kitu nchi hii. Kwani nchi hii ni ya haji manara au ni ya mikia. Kupata mafanikio miaka 3 tu ndio watusumbue au kisa tumekaa kimya. Tatizo binadamu yoyote anaeongea sana bila kusikiliza huwa ni mjinga
 
BERNARD MORISON ni Mchezaji wa Simba lakini cha kushangaza Anafatiliwa kwa ukaribu na Mashabiki wa Yanga kuliko hata Mashabiki wa Simba ambao ndio Mchezaji wao,Kila anachokifanya BERNARD MORISON Mashabiki wa Yanga lazima watakuwa wa kwanza kukijua Mashabiki wa Yanga wanafatilia Maisha ya MORRISON Kuliko hata wanavyofatilia Maisha yao.
 
Imagine mtu kama huyu
IMG_20210307_101331.jpg
 
Naona vita inazidi kupamba moto. Haji anasema bwana Kitenge wakati anaondoka radio one alidondosha hirizi, hakuishia hapo tu, anasema huko usafini Jamaa anagombana na wenzake kisa kumkaribisha kwenye enterview Haji.
Na lilipokuja swala la similarities and differences wakati haji aki-balance mzani kujibu tuhuma za kitenge kuwa Haji anajipendekeza kwa matajiri, amesema Kitenge matajiri zake wako Marekani na ndiko anakoendaga, na kama mjanja aendelee kumsema ataharibu zaidi.
 
Back
Top Bottom