Exy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,146 Reaction score 5,520 Jul 6, 2023 #21 Hivi ujinga wenu kudanganywa na mangungu kuwaletea Manzoki afanye siasa na mkamchagua hamkutambua km ilikuwa ni tukio la kipambuvu kuwa kutokea!!, Na nauli mkatumia. Bata waheed Nshomile wa Muleba said: ila umeongea point tupu. Nashangaa wanaokupinga wanawaza kutumia kalio au? Tatizo Nchi hii ina wajinga wengi ndo mana hata huyo dogo anasema upuuzi halafu mashabiki wa yanga vijiweni na wao wanakomalia upuuzi eti”field” maneenah zao wote hao Click to expand...
Hivi ujinga wenu kudanganywa na mangungu kuwaletea Manzoki afanye siasa na mkamchagua hamkutambua km ilikuwa ni tukio la kipambuvu kuwa kutokea!!, Na nauli mkatumia. Bata waheed Nshomile wa Muleba said: ila umeongea point tupu. Nashangaa wanaokupinga wanawaza kutumia kalio au? Tatizo Nchi hii ina wajinga wengi ndo mana hata huyo dogo anasema upuuzi halafu mashabiki wa yanga vijiweni na wao wanakomalia upuuzi eti”field” maneenah zao wote hao Click to expand...
Exy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,146 Reaction score 5,520 Jul 6, 2023 #22 mpiga vichwa said: Klabu ina viongozi wa ajabu ajabu Sana. Wanafikiri Mashabiki wa vilabu vingine nao ni hamnazo kama wale wa kwao kwamba niwakudanganya tu wanakubali. Click to expand... Kwamba hukuona ujinga wa viongozi wako kumfanya Manzoki kuwq kampeni Meneja wa uchaguzi na mkachekelea?.
mpiga vichwa said: Klabu ina viongozi wa ajabu ajabu Sana. Wanafikiri Mashabiki wa vilabu vingine nao ni hamnazo kama wale wa kwao kwamba niwakudanganya tu wanakubali. Click to expand... Kwamba hukuona ujinga wa viongozi wako kumfanya Manzoki kuwq kampeni Meneja wa uchaguzi na mkachekelea?.
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Jul 6, 2023 #23 Daima mbele nyuma mwiko