Naunga mkono hoja 👍👏👏Kuelekea mechi ya kesho ya Caf CL kati ya CR Belouizdad na Yanga, kimya kingi kimetanda. Tunaomba mseme mapema kama Belouizdad ni wabovu au wazuri. Hiki kimya cha Mashabiki wa 5G FC na wachambuzi uchwara akina Geoff Lea, Jemedari Said na Wilson Oruma sijakizoea kabisa. Mida kama hii makala kibao kwamba Yanga ni UnderDog. Mpaka sahivi sisikii kitu.
Hatutaki kesho mtu apigwe 5 muanze kusingizia ni mbovu. Mseme mapema.
Wewe utapigwa 5 jumamosiKesho mnapigwa 2
Ndio wasemee mapemaa [emoji23]Kuelekea mechi ya kesho ya Caf CL kati ya CR Belouizdad na Yanga, kimya kingi kimetanda. Tunaomba mseme mapema kama Belouizdad ni wabovu au wazuri. Hiki kimya cha Mashabiki wa 5G FC na wachambuzi uchwara akina Geoff Lea, Jemedari Said na Wilson Oruma sijakizoea kabisa. Mida kama hii makala kibao kwamba Yanga ni UnderDog. Mpaka sahivi sisikii kitu.
Hatutaki kesho mtu apigwe 5 muanze kusingizia ni mbovu. Mseme mapema.
haiwezekan haitatokea tenaWewe utapigwa 5 jumamosi
Mbona ulipocheza na yanga ilitokeahaiwezekan haitatokea tena
Ile game ilikua imejaa ulozi kila kona hakukua na mpira pale yalikua ni mapepo tu yanachezaMbona ulipocheza na yanga ilitokea
Sio kweli mbona mwenzio mechi iliyofata alishinda wewe kwa nini ulitoa sareIle game ilikua imejaa ulozi kila kona hakukua na mpira pale yalikua ni mapepo tu yanacheza
Ndio useme Sasa mapemaKesho mnapigwa 2
AaahaaaaMpaka najiuliza hawa watu wameachana na kazi ya uchambuzi maana sijawazoea hivi . Makala zao sizioni kabisa!
Akiwemo Simba?Mpira umeanza kufatilia mwaka juzi? Kiufupi ni kwamba wanaojua wooote wanaanzia viwanja vya nyumbani
Habari ndoio. Wakubwa wanaanzia nyumbani, wasiojielewa wanaanzia machakani. Kumfunga simba hakukupi ukubwa Afrika kwani katika timu iliyoofunga simba mara nyingi ni utopolo lkn utopolo hana ukubwa wowote Afrika.Akiwemo Simba?
Ndo ufungwe 5-1?Habari ndoio. Wakubwa wanaanzia nyumbani, wasiojielewa wanaanzia machakani. Kumfunga simba hakukupi ukubwa Afrika kwani katika timu iliyoofunga simba mara nyingi ni utopolo lkn utopolo hana ukubwa wowote Afrika.