Mseme mapema kama Belouizdad ni wabovu au lah!

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,395
Reaction score
3,177
Kuelekea mechi ya kesho ya Caf CL kati ya CR Belouizdad na Yanga, kimya kingi kimetanda. Tunaomba mseme mapema kama Belouizdad ni wabovu au wazuri. Hiki kimya cha Mashabiki wa 5G FC na wachambuzi uchwara akina Geoff Lea, Jemedari Said na Wilson Oruma sijakizoea kabisa. Mida kama hii makala kibao kwamba Yanga ni UnderDog. Mpaka sahivi sisikii kitu.

Hatutaki kesho mtu apigwe 5 muanze kusingizia ni mbovu. Mseme mapema.
 
Naunga mkono hoja 👍👏👏
 
Ndio wasemee mapemaa [emoji23]
 
Mpaka najiuliza hawa watu wameachana na kazi ya uchambuzi maana sijawazoea hivi . Makala zao sizioni kabisa!
Aaahaaaa

Watazinduka kesho Yanga akifa uarabuni

Ila kama Yanga ataua mtu,watazidi kujifukia shimoni
 
Umetisha sanaaa
NAKAZIA
FB_IMG_1693333597370.jpg

#YNWA
 
Ndio ni wabovu mnoo,kwani wana historia ipi ya kutisha ktk mashindano ya shirikisho au klabu bingwa Africa??

Mkishindwa kuwafunga mtakuwani wabovu pro max
 
Mpira umeanza kufatilia mwaka juzi? Kiufupi ni kwamba wanaojua wooote wanaanzia viwanja vya nyumbani
 
Akiwemo Simba?
Habari ndoio. Wakubwa wanaanzia nyumbani, wasiojielewa wanaanzia machakani. Kumfunga simba hakukupi ukubwa Afrika kwani katika timu iliyoofunga simba mara nyingi ni utopolo lkn utopolo hana ukubwa wowote Afrika.
 
Ndo ufungwe 5-1?
 
Back
Top Bottom