Pweza Boy
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,395
- 3,177
Kuelekea mechi ya kesho ya Caf CL kati ya CR Belouizdad na Yanga, kimya kingi kimetanda. Tunaomba mseme mapema kama Belouizdad ni wabovu au wazuri. Hiki kimya cha Mashabiki wa 5G FC na wachambuzi uchwara akina Geoff Lea, Jemedari Said na Wilson Oruma sijakizoea kabisa. Mida kama hii makala kibao kwamba Yanga ni UnderDog. Mpaka sahivi sisikii kitu.
Hatutaki kesho mtu apigwe 5 muanze kusingizia ni mbovu. Mseme mapema.
Hatutaki kesho mtu apigwe 5 muanze kusingizia ni mbovu. Mseme mapema.