Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Hiyo ilinikuta 2008 nikiwa na kampuni fulani hivi... Siku hiyo sina kitu mishale ya saa Saba hivi inatokea dili fulani nikapiga kama milioni tatu hivi... Sasa Ile furaha nitasema nikajipongeze kidogo na washkaji jioni yake. Kumbuka nimetoka asubuhi nyumbani sina kitu.
Basi nikawaita wanangu kama watatu hivi na kwa sababu kibunda nilikuwepo nikachomoa kama laki mbili hivi nikijiambia kuwa hata haitaisha...
Basi tukanywa na Kula ghafla mzigo 200K unakata nitasema ngoja niongeze hata laki .... Dah nayo ikakata na hapo mzigo upo kichwani .. nikaona isiwe issue acha niweke level mpaka laki tano... Anyways Kwa kuwa nilijua nitarudi na Wana nitasema ngoja nikaifuche hii pesa kwenye gari kabisa kabla jamaa hawajaingia kwenye gari. Nikaiweka Chini ya siti ya dereva...
Nikirudi nao salama na shangwe kama zote.
Issue kesho yake sasa Ile iliyobaki yote nimemsahau nilipoiweka na haikuwa tabia yangu kuweka pesa pale.... Lakini change kama 80k hivi pekee
Nikajipa moyo aaaahh pesa yenyewe ya dili inawezekana nimeibiwa au nimeiangusha mahali... Ilikuwa wiki ya mateso Sana
Siku moja baada ya wiki hivi weekend naosha gari nyumbani mara mafuta mchanga kwenye karpet naiona bahasha kufungua naiona Ile Baki 2.5M dah na zoezi la kutosha gari lilifia pale pale... Nikaenda kujipongeza... Ilikuwa wiki ya mateso Sana Kwa kweli. Nikijifariji eti Kwa sababu nibya siku haiumi lakini ukweli sikuweza kupata utulivu.
Pesa zipo tu kikubwa uzima😂
Ilikuwaje...?Wanasema ""
"To every successful hangover, there is a promise of not to drink again".
Hiyo wiki sikugusa hata chupa Moja ya beer..
We acha tuWanasema ""
"To every successful hangover, there is a promise of not to drink again".
Hiyo wiki sikugusa hata chupa Moja ya beer..
Umetisha sanaHASARA ROHO PESA MAKARATASI nikisemaga hivyo hata 5Million inaweza kukatika kimasihara
"Liwalo na liwe""SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +.
Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar flani, yeye atasimamia show (ipo pembezoni mwa Barabara ya Moshono-Impala).
Tulivyofika eneo la tukio,Mimi,yeye na wadogo zake wawili tukaanza piga gambe.
Ghafla tukasikia tumeitwa ,kugeuka ni mshikaji wa mtaa mmoja.
Sasa hapo mjamaa wangu gambe zipo kichwani, akainuka na kwenda kucheza, alivyorudi, kaambatana na wadada wa4 (nao ni wa mtaani ) wakajumuika.
Mjamaa akantonya hela imekata, nimuokoe maana kuna mdada mmoja wapo anamuelewa.
Kwakuwa nami nipo Gambe nkasema "mwana usihofu ".
Hapo jumla tupo 9, wote wakaagiza supu nzito, wengine kiepe kuku.
Kila mtu akapata chupa zake tano za gambe, round zikarudiwa na kurudiwa, wengine Whisky...
Kuja kufika saa 9 usiku muda wa kusepa nikalipia Bili. Lipia usafiri wa kila mtu, nkampa mjamaa na hela ya kuhonga, nyingine sijui nilitupa.
Asubuhi ilivyofika, kuja kucheki nimetumia zaidi ya 400K. Hapo nikajifariji kwa kusema "SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Je,msemo wako huwa upi?
Tupia na tukio hata moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku sijui shetani alinikumba vip....Aiseee nilienda nikawasomba boda boda jirani na ofisini kwangu kwenda kuwapigisha bata kufumba na kufumbua nimeshatumia kama 420k ndio akili yangu inarudi....wakati nasikilizia maumivu, akaja dogo mmoja akaniambia bro, Kuna supu Moja kule haijalipwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilichomjibu hatosahau....Vip ukishiba hiyo supu tuondoke nikakutomb* [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana unaonekana unapenda sana vya Bure, maskini dogo wa watu hakunijibu akajiondokea mpk Leo najiulizaga Nini kilinikumba sipati jibu mpaka Leo[emoji848][emoji50][emoji100][emoji3064]