Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

The best way to stop smoking is to not start at all.

Pesa za starehe zinatakiwa kuwa katika bajeti yake, na kama huwezi kuimudu, unatakiwa kuwa na mazingira ya kumali,a starehe kibao nyumbani bika gharama kubwa.

Hata kununua nyama ukachoma nyumbani huku unasikiliza muziki ukala na familia ni starehe kubwa tu.

Ukishindwa hata kufanya mazoezi ya kukimbia au kutembea ni starehe.
BAr na ki hotels zingefungwa
 
'Mama atanipa nyingine'

AU

'Acha nitumie hela vibaya kwa mara ya mwisho😁'

Nina katabia hako, nikiwa na elfu kumi kadhaa halafu kuna vichenchi chenchi(elfu tano kushika chini)

Hizo chenchi nazila chap naona kama zina sura mbaya
 
Nilienda Bar na laki tano then nikapitiliza club..
Asubuhi nikaamka na laki mbili, nikawazaa halafu nikasema mm sio wa kwanza.

LIFE GOES ON.
 
Miaka hiyo zimeingia Tv flat screen nikasogea Kinondoni Kulikua na duka wanauza vifaa vya mtumba. Jamaa wanataka laki 4 mi nina laki 5 mfukoni baadae nikaona nizuge naondoka labda wataniita wapi 😆 nikaona nisogee Masai (Meridian), nipate hata bia 2 afu nirudi niichukue bhana aisee nilistukia nimefika bia ya 5 nikaanza kuwapigia washkaji nao wakaja na wenzao tukawa kama 6 hapo naitwa tajiri. Afu mapacha wa3 kina chokoraa wananirusha tulikula gambe kuja kustuka asbh nimebaki na 20k niliumia sana baadae nikasema Mara moja moja sio mbaya.
 
2007 huko.
Na wanangu tumekula gambe then ile kuamka asubuhi hata hela ya kunywa supu hatuna.

Ila usiku tulikua na kauli yetu " nani kaiona kesho" kuna wimbo unahiko kibwagizo ila sisi mpaka leo ndio kauli yetu ya kujitia moyo tukiwa tumeshatumia hela vibaya.
Nani kaiona kesho lileee! Kamaliza kesho lilee! Ni majaliwa yake Mungu eee kuiona kesho x2 na macamera ya videooo mazishini ee ni majaliwa yake Mungu oo kuiona kesho.
 
Miaka hiyo zimeingia Tv flat screen nikasogea Kinondoni Kulikua na duka wanauza vifaa vya mtumba. Jamaa wanataka laki 4 mi nina laki 5 mfukoni baadae nikaona nizuge naondoka labda wataniita wapi 😆 nikaona nisogee Masai (Meridian), nipate hata bia 2 afu nirudi niichukue bhana aisee nilistukia nimefika bia ya 5 nikaanza kuwapigia washkaji nao wakaja na wenzao tukawa kama 6 hapo naitwa tajiri. Afu mapacha wa3 kina chokoraa wananirusha tulikula gambe kuja kustuka asbh nimebaki na 20k niliumia sana baadae nikasema Mara moja moja sio mbaya.
Duh
 
Hiyo ilinikuta 2008 nikiwa na kampuni fulani hivi... Siku hiyo sina kitu mishale ya saa Saba hivi inatokea dili fulani nikapiga kama milioni tatu hivi... Sasa Ile furaha nitasema nikajipongeze kidogo na washkaji jioni yake. Kumbuka nimetoka asubuhi nyumbani sina kitu.
Basi nikawaita wanangu kama watatu hivi na kwa sababu kibunda nilikuwepo nikachomoa kama laki mbili hivi nikijiambia kuwa hata haitaisha...
Basi tukanywa na Kula ghafla mzigo 200K unakata nitasema ngoja niongeze hata laki .... Dah nayo ikakata na hapo mzigo upo kichwani .. nikaona isiwe issue acha niweke level mpaka laki tano... Anyways Kwa kuwa nilijua nitarudi na Wana nitasema ngoja nikaifuche hii pesa kwenye gari kabisa kabla jamaa hawajaingia kwenye gari. Nikaiweka Chini ya siti ya dereva...
Nikirudi nao salama na shangwe kama zote.
Issue kesho yake sasa Ile iliyobaki yote nimemsahau nilipoiweka na haikuwa tabia yangu kuweka pesa pale.... Lakini change kama 80k hivi pekee
Nikajipa moyo aaaahh pesa yenyewe ya dili inawezekana nimeibiwa au nimeiangusha mahali... Ilikuwa wiki ya mateso Sana
Siku moja baada ya wiki hivi weekend naosha gari nyumbani mara mafuta mchanga kwenye karpet naiona bahasha kufungua naiona Ile Baki 2.5M dah na zoezi la kutosha gari lilifia pale pale... Nikaenda kujipongeza... Ilikuwa wiki ya mateso Sana Kwa kweli. Nikijifariji eti Kwa sababu nibya siku haiumi lakini ukweli sikuweza kupata utulivu.
 
Back
Top Bottom