Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaha eti " we live once"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coz we ni Mzee wa ku-like, bila comments...😂😂🤗Kwann umenichagulia kazi hiyo
Na hiyo ndiyo sifa ya mimi kuwa usalama 😆😆😆😆😆Coz we ni Mzee wa ku-like, bila comments...😂😂🤗
Mwanaume hafi njaa anachelewa kula tu....."SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka,Jijini Arusha,hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +.
Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar flani,yeye atasimamia show (ipo pembezoni mwa Barabara ya Moshono-Impala).
Tulivyofika eneo la tukio, tukaanza shushia maji ya dhahabu mimi, mwenzangu na wadogo zake wawili.
Ghafla tukasikia tumeitwa ,kugeuka ni mshikaji wa mtaa mmoja (mtaa wa Baraa).
Sasa hapo mjamaa wangu gambe zipo kichwani,akainuka na kwenda kucheza,alivyorudi ,kaambatana na wadada wa4 (nao ni wa mtaani ) wakajumuika.
Mjamaa akantonya hela imekata,nimuokoe mana kuna mdada mmoja wapo anamuelewa.
Kwakuwa nami nipo Gambe nkasema "mwana usihofu ".
Hapo jumla tupo 9,wote wakaagiza supu nzito,wengine kiepe kuku.
Kila mtu akapata chupa zake tano za gambe ,round zikarudiwa na kurudiwa, wengine wanataka Whisky...
Kuja kufika saa 9 usiku mda wa kusepa
nkalipia Bili.Lipia usafiri wa kila mtu,Nkapitia mjamaa na hela ya kuhonga,Nyingine sijui nilitupa.
Asubuhi ilivyofika, kuja kucheki nimetumia zaidi ya 400K
Hapo nikajifariji kwa kusema "SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Kufungwa nimefungwa ila nimepiga chenga za kutosha sana."SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"

MkuuThe best way to stop smoking is to not start at all.
Pesa za starehe zinatakiwa kuwa katika bajeti yake, na kama huwezi kuimudu, unatakiwa kuwa na mazingira ya kumali,a starehe kibao nyumbani bika gharama kubwa.
Hata kununua nyama ukachoma nyumbani huku unasikiliza muziki ukala na familia ni starehe kubwa tu.
Ukishindwa hata kufanya mazoezi ya kukimbia au kutembea ni starehe.
Mbona pesa ya kawaida sana hiyo."SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka,Jijini Arusha,hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya Advance Millioni +.
Sikukuu ya Pasaka ilipofika mwenyeji wangu akasema twende kusherekea kwenye Bar flani,yeye atasimamia show (ipo pembezoni mwa Barabara ya Moshono-Impala).
Tulivyofika eneo la tukio, tukaanza shushia maji ya dhahabu mimi, mwenzangu na wadogo zake wawili.
Ghafla tukasikia tumeitwa ,kugeuka ni mshikaji wa mtaa mmoja (mtaa wa Baraa).
Sasa hapo mjamaa wangu gambe zipo kichwani,akainuka na kwenda kucheza,alivyorudi ,kaambatana na wadada wa4 (nao ni wa mtaani ) wakajumuika.
Mjamaa akantonya hela imekata,nimuokoe mana kuna mdada mmoja wapo anamuelewa.
Kwakuwa nami nipo Gambe nkasema "mwana usihofu ".
Hapo jumla tupo 9,wote wakaagiza supu nzito,wengine kiepe kuku.
Kila mtu akapata chupa zake tano za gambe ,round zikarudiwa na kurudiwa, wengine wanataka Whisky...
Kuja kufika saa 9 usiku mda wa kusepa
nkalipia Bili.Lipia usafiri wa kila mtu,Nkapitia mjamaa na hela ya kuhonga,Nyingine sijui nilitupa.
Asubuhi ilivyofika, kuja kucheki nimetumia zaidi ya 400K
Hapo nikajifariji kwa kusema "SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Kupitia muhimu, nilishapitia sasa hivi naangalia mchezo kama kocha.Mkuu
Kuna moments za ujanani lazima uzipitie,,,hauwezi kuwa salama kwenye kila kitu.
Yah,huwa inasaidia kutufunza...Kupitia muhimu, nilishapitia sasa hivi naangalia mchezo kama kocha.
Kuna siku niliingia Webster Hall hapo New York City, peke yangu, nikamaliza some $400 in a few hours kwenye drinks alone, hata sijui nilikunywa nini. Na hii ni kama miaka 20 iliyopita $400 ilikuwa na shepu. And that's not even the worst. Nikasema hapa nisipojipanga vizuri nitakuwa mpangaji kwa watu siku zote. Nikaweka mkakati wa kuhamia kwangu na kukamilisha.
Ndiyo maana unaona sasa nakuja na stories za kishua kuchoma nyama na familia nyumbani huku unasikiliza muziki, kufanya mazoezi, etc.
But kumbuka hiyo pesa ilikuwa nje ya mipango mkuu....Mbona pesa ya kawaida sana hiyo.