Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Acha kumfananisha chama na uchafu huooKuna huyu na mkongo wa Yanga hawa majamaa mpira wanaujua hapa Bongo wanapoteza muda tu
Huyu mchezaji ni wa kawaida sana hana mazara yoyoteNamtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji ( Inside 10 ). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Ni kweli Mkuu, Chama hana mazara yoyote... ila kwa madhara anayoleta naona kabisa kuna siku atasababisha maafa makubwa uwanjani.Huyu mchezaji ni wa kawaida sana hana mazara yoyote
HahahaChama anajua jamani hadi kumkaba wanakataa...
Mazara ndio nini?Huyu mchezaji ni wa kawaida sana hana mazara yoyote
Ni kweli Mkuu, Chama hana mazara yoyote... ila kwa madhara anayoleta naona kabisa kuna siku atasababisha maafa makubwa uwanjani.