Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Mwamba wa Lusaka anaufanya Mpira miguu uonekane mchezo rahisi sanaa [emoji110]
IMG-20200722-WA0010.jpg
IMG-20200715-WA0041.jpg
 
Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Kuna watu wanamkumbuka nyieeee
 
Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Eti wanajaribu kumfananisha na Aziz Kindamba
 
Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Hapotezi muda akiwa Simba, ila kama angekuwa Yanga pale kweli tungesema anapoteza muda wake tu au sawa na k usema anampigia mbuzi gita
 
Back
Top Bottom