Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Tripple C popote ulipo nasema asante sana.. tangu uwatoe NKANA kwa kisigino cha flat screen nikasema hewaaaa!!
Haruna asante sana, dakika 20 zilikutosha kutuambia kule YANGA ulikuwa unapoteza muda tu.
Zimbwe jr asante dogo umepambana kuliko kawaida.
James KOTEI napendaga kukuita Chuma, uliwatuliza Vita wasisogelee box yetu hakika wewe ni CHUMA.
Nyoni ulikuwa wapi baba, umetubeba sana jana asante.
Zana COULIBALY asante pia.. sikuona winga mchokozi upande wako.
Aishi MANULA wewe ni TANZANIA ONE ambae hataki aende Congo.. tunatambua umuhimu wako.
Na wengine wote Meddie, Bocco, Okwi, Mzamiru, Wawa n.k

Robo fainali aje yeyote VITA NI VITA MURA.
 
Back
Top Bottom