chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Mmekuwa 'Wajane' baada ya mume kufa. Mmebaki kusema 'tulikuwa na pesa'Mnaongea maana Yanga haijafanya usajili wa maana..Bashite kawabeba mnajua Yusuph angekuwepo hakuna kenge yoyote anayeweza kupumua ..alimnunua Chirwa $100 K hakuna mchezaji Bongo aliyenunuliwa kwa bei hiyo