ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Hao fm academiaMkongo yupi Shishimbi au Makambo?acha bange mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao fm academiaMkongo yupi Shishimbi au Makambo?acha bange mkuu
Sahii mkuu hii namba inatoka ulimwengu mwingin kabisaHahaha.. Mkuu nachoweza kusema, huyu Chama kashindikana. Na jambo la msingi tuendeleze tu dua, ili Allah azidi kuwatia 'upofu' maskauti wa Barcelona waendelee kutomuona.
HahahaChama anatoa mapande ya kufunga halafu akiona mapande mengi wanapoteza anajitengenezea na kufunga mwenyewe na sasa ameanza kuizoea ligi ataumiza wengi
"Cla Cho Cha" wenyewe humuita Triple C. Ni miongoni mwa wachezaji ambao unaweza kuwatizama huku ukitupatupa popcorn mdomoni au kijikombe cha Kahawa.Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji ( Inside 10 ). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Utakuwa mwl. KashashaBado namtafakari fundi Chama..... kuna kitu kinakuja juu yake mtaelewa .
Kwa ufupi tu , ukitaka kumjua kiungo mchezeshaji mwenye majukumu ya kutunza mfumo wa kushambulia wa timu , kupanga mashambulizi , kiungo mwenye uwezo wa ku ‘ unlock defensive plan’ ya adui , kiungo mwenye uwezo wa kuwafanya wenzake wakazitendea haki nafasi zao kwa zaidi ya asilimia 50 , kiungo mwenye jicho la kujua wakati gani timu ishambulie kwa mipira mirefu na wakati gani icheze direct play kwa maana ya kujenga shambulizi kutoka box moja kwenda jingine basi huna budi kumtazama raia huyu wa Zambia Cleutus Chama anayeichezea Simba SC .
Kwanza kabisa ana nguvu , kasi , uwezo wa kukaa na mpira na kuupeleka anapoona ni sawa kufika lakini agility yake inamfanya ku ‘impact ‘ offensive spirit kwa forwad line ambayo inaifanya forwad line ya Simba muda mwingi kuwa deep kwenye final third ya opponent.
Aussems alimsoma Chama akaona anahitaji kiungo mwenye uwezo kama wake kwenye kukaa na mpira , kupiga pasi na kuwavuruga wapinzani katika kwa jinsi anavyocheza na mpira ndipo akatengeneza pacha ya Ndemla na Chama juu ikinakshiwa na Emanuel Okwi
Mimi namtoa kabisa bara la afrika huyu ni level za ulayaMimi ni mshabiki wa simba ila niwe mkweli, ligi ya Tanzania sio kiwango chake, he's wasting himself. Angalau angeenda south kwa kweli. Hakosi timu kule!
Kama anakosa kutojituma, maana yake ni kwamba anajitumaAna kjpaji lakini anakosa vitu vingi ikiwamo kutojituma.
Imagine fellain anacheza mwanitesa utd alafu clatous chama anacheza Simba what a waste, shida morihno sio muumini wa watu wa Mpira Mpira kama akina chama!Mimi namtoa kabisa bara la afrika huyu ni level za ulaya
Wewe ni Mwl WA Kiswahili darasa la 2 la mchana bila shakaKama anakosa kutojituma, maana yake ni kwamba anajituma
Maneno ya mkosajiChama, saws unadhani hao wa south hawamuoni? Usikute hana wanachokitaka.
Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji ( Inside 10 ). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?