Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Ha ha ha ha...!Unatoka kwenu usukumani unakutana na Okwi unakufa. Haaaaa haaaaa Okwiiiiiiiiiiii gooooooooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha...!Unatoka kwenu usukumani unakutana na Okwi unakufa. Haaaaa haaaaa Okwiiiiiiiiiiii gooooooooooo
Wazee wa EkotiteHao fm academia
Bitter truthMimi ni mshabiki wa simba ila niwe mkweli, ligi ya Tanzania sio kiwango chake, he's wasting himself. Angalau angeenda south kwa kweli. Hakosi timu kule!
Chama ni fundi wa mpira...itoshe kusema hivyo."Cla Cho Cha" wenyewe humuita Triple C. Ni miongoni mwa wachezaji ambao unaweza kuwatizama huku ukitupatupa popcorn mdomoni au kijikombe cha Kahawa.
Anakupa maana kamili ya kiungo chakushambulia. Anakupa anautaka, anakupa tena anaufuata, akiwa nao anaamua kukaa nao au kutafuta mwenye nafasi, na kunawakati anaingia nao chumbani na kutokea nao sebleni. Chama ni ukwaju sana.
Nawaza tu siku wanacheza Haruna na Cla Cho Cha pale kiungoni....... Sijui patakuwaje pale kiungoni na kwa wale wa juu kule shambulioni.
Sahihi kabisaMimi namtoa kabisa bara la afrika huyu ni level za ulaya
Mmmmmh...!Chama, saws unadhani hao wa south hawamuoni? Usikute hana wanachokitaka.
Chama ni fundi wa mpira...itoshe kusema hivyo.
Siku hizi hakuna misumari Simba,cheki madogo wanavyopendana. Watafika mbali[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 911735
Misumali inatumika kwa watu masikini wa kichwa.Siku hizi hakuna misumari Simba,cheki madogo wanavyopendana. Watafika mbali
Tunakanyaga kwenda mbele tuMisumali inatumika kwa watu masikini wa kichwa.
Simba ishahama huko.
Timu kubwa Misri ni Al Ahly,Zamalek na Ismailia...hiyo Ittihad hata premier league ya Misri haijawahi kuchukua...kuhusu Chipolopolo labda hawana watu wa maana ndio anapata namba ..AFCON za mwisho Zambia hawakwenda wachezaji wao wa 2012 wamezeekaItihad Alexandria sio katimu ni timu ya tatu kwa ukubwa Egypt baada ya National Al ahly na Zamalek.Usimlinganishe Chirwa na Chama. Chama yupo kwenye first eleven ya mojawapo ya timu bora za Afrika. Chipolopolo.
Ni bonge la mchezaji na nadiriki kusema kwenye viungo wote hapa Tanzania kwenye ligi hakuna wa quality yake.Mimi namjua tokea Egypt. Kama huamini subiri utaona shughuli yake