Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Kwanini alishindwa kucheza Misri tujiulize ligi yetu ni mbovu au ??
 
Anacheza na vipofu why usiwe bora,angekuwa bora kiasi hicho asingekuja bongo,
 
Wameona uwezowake mdogo ndio maana wakafanya figisu ili avunje mkataba maana pesa wanayomlipa ni tofauti na uuwezo wake wenzetu ni wajanja sana
Wenzetu ni wajanja kama tulivyo mabingwa watetezi wa TPL, Simba SC.. hawafanyi usajili bila ya kumskauti mchezaji kwa mda mrefu tofauti na wanavyofanya Yanga SC ambao usajili wao huangalia picha za mchezaji.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Leo madogo wanaweza gaili maana yule chama ni hatari sana
 
Back
Top Bottom