Huyu jamaa Simba wampe mkataba mtamu abaki msimbaziMwamba wa Lusaka anaufanya Mpira miguu uonekane mchezo rahisi sanaa [emoji110]View attachment 1514730View attachment 1514731
Kuna watu wanamkumbuka nyieeeeNamtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Eti wanajaribu kumfananisha na Aziz KindambaNamtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Hapotezi muda akiwa Simba, ila kama angekuwa Yanga pale kweli tungesema anapoteza muda wake tu au sawa na k usema anampigia mbuzi gitaNamtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?