Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

KWA ANYEBISHA KUHUSU UWEZO WA CHAMA HUYO HAUJUI MPIRA. JAMAA YUPO VIZURI NA UCHEZAJI WAKE NI WA KIPEKEE. NINGEKUWA KOCHA WA SIMBA MBELE NINGEANZA NA OKWI NA KAGERE WAKATI BOKO ANASUBIRI MPAKA DAKIKA YA 30 KIPINDI CHA PILI. NYUMA YAO ANAKUWA DILUNGA NA CHAMA WAKATI KICHUYA ANASUBIRI KIPINDI CHA PILI. NA NYUMA YAO TENA NAKUWA NA MKUDE NA KOTEI WAKATI BEKI NAKUWA NA KAPOMBE, MOHAMED HUSSEIN, WAWA NA NYONI. KOCHA AKIWEZA KUTENGENEZA MUUNGANIKO HUU UKAIVA VIZURI HAPO KAZI KWISHA HATA AJE MWARABU ATAPATA TABU.

CHAMA AMEKAMILIKA KWA KILA KITU KWA WAHENGA WENZANGU WATAKUMBUKA BURUDANI YA MTU ALIYEKUWA ANAITWA HAMISI GAGA "GAGARINO" PALE ALIPOKUWA ANAKAMATA DIMBA LA KATI.

KAMA KUNA MTU BADO ANA WASIWASI NA UWEZO WA CHAMA ATAFUTE CLIP ZAKE ZA MAGOLI ALIZOWAFUNGA MBAMBANE, AFRICAN LYON NA KAMA SIKOSEI STAND UNITED AONE AINA YA MAGOLI ANAYOFUNGA KATIKATI YA MSITU WA MABEKI WA TIMU PINZANI BILA WASIWASI. NI WACHEZAJI WACHACHE SANA DUNIANI WENYE UWEZO WA KUFUNGA MAGOLI YA AINA HIYO.
Mkuu muunganiko huu unaweza kuleta maafa kama ya tetemeko
 
Aliyemleta Triple C..ndo wakulaumiwa

Kwani Mnatesekaa..[emoji23][emoji23]
edokumwembe___Bq-AhnqAWL7___.jpg
 
Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji ( Inside 10 ). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Bongo anapita tu
 
Angekuwa wa level hiyo huku asingefika,angekuwa kama akina Drogba,Ettoo,Salah na wengine.kwa level ya tz ni sawa
Kucheza Ulaya wakati mwingine ni bahati na uwezo wa kwenda huko au kujitangaza kwao.
Kuna wachezaji wanauwezo wa kucheza Ulaya na hawajabahatika tu kufika huko.
Na pia kuna wachezaji wanacheza Ulaya na viwango vyao ni vibovu tu.
CCC ana uwezo wa kucheza popote pale hapa ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom