nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
HahahaaHuyu ukitoa Zidane na Gaucho HAKUNA mwingine ...[emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaHuyu ukitoa Zidane na Gaucho HAKUNA mwingine ...[emoji119][emoji119]
Malizia FROM SOMALIAYOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB "The Citizen Team" hayo mengine sielewi
Hiyo utajua mwenyeweMalizia FROM SOMALIA
Aisee kweli kabisaa..Wale vyura wa Jangwani waliokuwa wakiulizia kuhusu Tripple C naona leo wamepata jibu.
Goli unaweza kuweka benki ukapewa mkopo.Unamwambia meneja wa benki arudie kuliangalia.Atakubali tu.
lile goli aisee nimeliangalia mara mbilimbili sijatoshekaWale vyura wa Jangwani waliokuwa wakiulizia kuhusu Tripple C naona leo wamepata jibu.
Goli unaweza kuweka benki ukapewa mkopo.Unamwambia meneja wa benki arudie kuliangalia.Atakubali tu.
Mkuu goli lile wanafunga wenye akili zao tu.lile goli aisee nimeliangalia mara mbilimbili sijatosheka
Acha kumfananisha Chama na vitu vya ajabuKuna huyu na mkongo wa Yanga hawa majamaa mpira wanaujua hapa Bongo wanapoteza muda tu
Wewe ni mwanamichezo, hongera sana!Kukataa ukweli ni sawa na kubisha kuwa haupo hai ushabiki wangu wa Yanga haiwi sababu ya kukataa uwezo wa fundi Clatious Chota Chama " Tripe C
Mkuu nimekupa heshimaKukataa ukweli ni sawa na kubisha kuwa haupo hai ushabiki wangu wa Yanga haiwi sababu ya kukataa uwezo wa fundi Clatious Chota Chama " Tripe C
Vitu vingine unaweza maliza hospitali zote na ugonjwa unaokusumbua usitambulikeMkuu nimekupa heshima
Kama vile ambavyo mimi simba namkubali makambooKukataa ukweli ni sawa na kubisha kuwa haupo hai ushabiki wangu wa Yanga haiwi sababu ya kukataa uwezo wa fundi Clatious Chota Chama " Tripe C
Lile goli ni tamu kuliko tendo la ndoa.Wale vyura wa Jangwani waliokuwa wakiulizia kuhusu Tripple C naona leo wamepata jibu.
Goli unaweza kuweka benki ukapewa mkopo.Unamwambia meneja wa benki arudie kuliangalia.Atakubali tu.
Lile goli ni tamu kuliko tendo la ndoa.Wale vyura wa Jangwani waliokuwa wakiulizia kuhusu Tripple C naona leo wamepata jibu.
Goli unaweza kuweka benki ukapewa mkopo.Unamwambia meneja wa benki arudie kuliangalia.Atakubali tu.
Lile goli ni tamu kuliko tendo la ndoa.Wale vyura wa Jangwani waliokuwa wakiulizia kuhusu Tripple C naona leo wamepata jibu.
Goli unaweza kuweka benki ukapewa mkopo.Unamwambia meneja wa benki arudie kuliangalia.Atakubali tu.
Lile goli ni tamu kuliko tendo la ndoa.Wale vyura wa Jangwani waliokuwa wakiulizia kuhusu Tripple C naona leo wamepata jibu.
Goli unaweza kuweka benki ukapewa mkopo.Unamwambia meneja wa benki arudie kuliangalia.Atakubali tu.
Na siku ya kupekeka rejesho kama huna hela unamuonyesha tu meneja video ya lile goli anakuambia nenda, mkopo wako umekufa usilipe tena.Wale vyura wa Jangwani waliokuwa wakiulizia kuhusu Tripple C naona leo wamepata jibu.