Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Mkuu muunganiko huu unaweza kuleta maafa kama ya tetemeko
 
Aliyemleta Triple C..ndo wakulaumiwa
 
Bongo anapita tu
 
Angekuwa wa level hiyo huku asingefika,angekuwa kama akina Drogba,Ettoo,Salah na wengine.kwa level ya tz ni sawa
Kucheza Ulaya wakati mwingine ni bahati na uwezo wa kwenda huko au kujitangaza kwao.
Kuna wachezaji wanauwezo wa kucheza Ulaya na hawajabahatika tu kufika huko.
Na pia kuna wachezaji wanacheza Ulaya na viwango vyao ni vibovu tu.
CCC ana uwezo wa kucheza popote pale hapa ulimwenguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…