daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Labda wewe ndio unaendaNimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Nursing hizi 4 hawaingii? Mbona wao hawashambuliwi km taaluma ya ualimu?Manake pale waliporuhusu wenye 4 za mwisho kusomea ualimu.
Ualimu kabla ya hapo kama huna 3 huwezi kwenda kusomea ualimu.
Ili kurudisha heshima ya ualimu..kigezo kiwe mwenyw dv 2..hizo 3 na 4 tupa kule.
#MaendeleoHayanaChama
Akili na walau D 2? Tunasumbuka na day worker wa konda uliyekalia kuvuta bangi enzi hizo uko shuleni. Askari hivyo hivyo 😂😂 we mi huwa nakuchora, uliwahi kutendwa na mwalimu huenda kinyume na maumbile si kwa upunguani huo.Ukweli unauma eeh? Watu waliosoma afya hadi sasa wanaakili, Askari hivyohivyo. Tatizo lipo kwa walimu
Mjinga bibi yakoDaa wametukanwa sana hawa watu.
Aya basi nami niongezee,WALIMU NI WAJINGA!
Ukiona mtu anaenda benki akili yako inakutuma kufikiria anaenda kuangalia salio.... Hili nalo janga !!!Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
MwlAcha kujipa moyo wewe..mzazi gani ambaye mtoto wake yupo shule ya kata anakuja kucheki maendeleo ya mwanae?.
Ok sawa kwahio unajivunia mkeo kutombwa na Mwl wa private school 😅😂Acha kujipa moyo wewe..mzazi gani ambaye mtoto wake yupo shule ya kata anakuja kucheki maendeleo ya mwanae?.
Kwahio mama yako alipitiwa na bodaboda ukapatikana wewe... Usijisahau ktk mitandao ukadhan kilamtu hajui kwenu ng'ombe wew... Mama ako si Mwl wa primaryHapo umeongea vice versa. Walimu wengi ndio wahanga wa wake zao kupitiwa na bodaabodaa
Kwani mwalimu ni yule anayefundisha shule ya kata tu? Wa private au boarding school siyo mwalimu? 😂Acha kujipa moyo wewe..mzazi gani ambaye mtoto wake yupo shule ya kata anakuja kucheki maendeleo ya mwanae?.
Huyo ni punguani. Anafikiria ufaulu wa mama yake ndo wa walimu wote.Kwahio mama yako alipitiwa na bodaboda ukapatikana wewe... Usijisahau ktk mitandao ukadhan kilamtu hajui kwenu ng'ombe wew... Mama ako si Mwl wa primary
Watu kibao tu nawafahamu walipata div 1 na 2 wakaenda kusomea ualimuHuyo ni punguani. Anafikiria ufaulu wa mama yake ndo wa walimu wote.
Mshahara wa mwezi huu nikipimo tosha cha serikali ya awamu 6 kwa watumishi wa umma.
Unamatatizo makubwa sana weweNimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Na wafanyiwe interview. Pia waliopo kazini wafanyiwe uhakiki tena upyaManake pale waliporuhusu wenye 4 za mwisho kusomea ualimu.
Ualimu kabla ya hapo kama huna 3 huwezi kwenda kusomea ualimu.
Ili kurudisha heshima ya ualimu..kigezo kiwe mwenyw dv 2..hizo 3 na 4 tupa kule.
#MaendeleoHayanaChama
Kazi ya Mwalimu ni nini? Hata huko kufundisha kwenyewe napo hamna kituUngeuliza swali tu ungejibiwa, hizo tetesi za jumatatu umezipataje kama wewe sio mhusika? Halafu nani kakuambia mwalimu anatakiwa kufundisha tu??
Anachosema ni kweli, walimu hiko kitu hawakijui. Sasa hivi hakuna haja ya kushinda kwenye ATM, Ila wao bado wanashinda hukoLabda wewe ndio unaenda
Taarifa za miamala zinapatikana kirahisi sana kwa njia ya simu tu huhitaji kusafiri
Nursing wana akiliNursing hizi 4 hawaingii? Mbona wao hawashambuliwi km taaluma ya ualimu?
Issue hapa sio ufaulu. Bakhressa hakupata hata hizo D 2, unataka kusema hana akili?Akili na walau D 2? Tunasumbuka na day worker wa konda uliyekalia kuvuta bangi enzi hizo uko shuleni. Askari hivyo hivyo [emoji23][emoji23] we mi huwa nakuchora, uliwahi kutendwa na mwalimu huenda kinyume na maumbile si kwa upunguani huo.
Waliofundishwa na walimu wasiokuwa na akili wao watazitoa wapi pimbi wewe?Nursing wana akili
Hadi hapa umedhihirisha kwa watu kuwa kweli hamna akiliKwahio mama yako alipitiwa na bodaboda ukapatikana wewe... Usijisahau ktk mitandao ukadhan kilamtu hajui kwenu ng'ombe wew... Mama ako si Mwl wa primary