Mshahara Julai 2022

Mshahara Julai 2022

Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Labda wewe ndio unaenda
Taarifa za miamala zinapatikana kirahisi sana kwa njia ya simu tu huhitaji kusafiri
 
Manake pale waliporuhusu wenye 4 za mwisho kusomea ualimu.

Ualimu kabla ya hapo kama huna 3 huwezi kwenda kusomea ualimu.

Ili kurudisha heshima ya ualimu..kigezo kiwe mwenyw dv 2..hizo 3 na 4 tupa kule.

#MaendeleoHayanaChama
Nursing hizi 4 hawaingii? Mbona wao hawashambuliwi km taaluma ya ualimu?
 
Ukweli unauma eeh? Watu waliosoma afya hadi sasa wanaakili, Askari hivyohivyo. Tatizo lipo kwa walimu
Akili na walau D 2? Tunasumbuka na day worker wa konda uliyekalia kuvuta bangi enzi hizo uko shuleni. Askari hivyo hivyo 😂😂 we mi huwa nakuchora, uliwahi kutendwa na mwalimu huenda kinyume na maumbile si kwa upunguani huo.
 
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Ukiona mtu anaenda benki akili yako inakutuma kufikiria anaenda kuangalia salio.... Hili nalo janga !!!
 
Hapo umeongea vice versa. Walimu wengi ndio wahanga wa wake zao kupitiwa na bodaabodaa
Kwahio mama yako alipitiwa na bodaboda ukapatikana wewe... Usijisahau ktk mitandao ukadhan kilamtu hajui kwenu ng'ombe wew... Mama ako si Mwl wa primary
 
Kwahio mama yako alipitiwa na bodaboda ukapatikana wewe... Usijisahau ktk mitandao ukadhan kilamtu hajui kwenu ng'ombe wew... Mama ako si Mwl wa primary
Huyo ni punguani. Anafikiria ufaulu wa mama yake ndo wa walimu wote.
 
Mshahara wa mwezi huu nikipimo tosha cha serikali ya awamu 6 kwa watumishi wa umma.
 
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Unamatatizo makubwa sana wewe
 
Manake pale waliporuhusu wenye 4 za mwisho kusomea ualimu.

Ualimu kabla ya hapo kama huna 3 huwezi kwenda kusomea ualimu.

Ili kurudisha heshima ya ualimu..kigezo kiwe mwenyw dv 2..hizo 3 na 4 tupa kule.

#MaendeleoHayanaChama
Na wafanyiwe interview. Pia waliopo kazini wafanyiwe uhakiki tena upya
 
Ungeuliza swali tu ungejibiwa, hizo tetesi za jumatatu umezipataje kama wewe sio mhusika? Halafu nani kakuambia mwalimu anatakiwa kufundisha tu??
Kazi ya Mwalimu ni nini? Hata huko kufundisha kwenyewe napo hamna kitu
 
Labda wewe ndio unaenda
Taarifa za miamala zinapatikana kirahisi sana kwa njia ya simu tu huhitaji kusafiri
Anachosema ni kweli, walimu hiko kitu hawakijui. Sasa hivi hakuna haja ya kushinda kwenye ATM, Ila wao bado wanashinda huko
 
Akili na walau D 2? Tunasumbuka na day worker wa konda uliyekalia kuvuta bangi enzi hizo uko shuleni. Askari hivyo hivyo [emoji23][emoji23] we mi huwa nakuchora, uliwahi kutendwa na mwalimu huenda kinyume na maumbile si kwa upunguani huo.
Issue hapa sio ufaulu. Bakhressa hakupata hata hizo D 2, unataka kusema hana akili?
Tatizo nyie ni la asili, ukishakua tu huko na akili zinaruka
 
Kwahio mama yako alipitiwa na bodaboda ukapatikana wewe... Usijisahau ktk mitandao ukadhan kilamtu hajui kwenu ng'ombe wew... Mama ako si Mwl wa primary
Hadi hapa umedhihirisha kwa watu kuwa kweli hamna akili
 
Back
Top Bottom