daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Labda wewe ndio unaendaNimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Taarifa za miamala zinapatikana kirahisi sana kwa njia ya simu tu huhitaji kusafiri