Mshahara mmoja tu wa Luis Jose miqusison unalipa wachezaji wote wa Yanga

TASK FORCE

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
2,465
Reaction score
3,459
By Mwandishi Wetu
More by this Author

MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri.

Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo jijini hapa ni kwamba atalipwa mshahara wa Dola 34,000 sawa na Sh80 milioni rekodi ya kujivunia Simba.

Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba kama mastaa wote wa kikosi cha kwanza cha Yanga wanalipwa Sh7milioni kama Mukoko Tonombe ni kwamba Luis kwa mwezi anawalipa wote na anabakiwa na chenji. Mshahara huo ni kadirio la juu kwani uhalisia ni kwamba wachezaji wengi wanalipwa chini ya hapo.Habari zinasema kwamba Simba imemuuza mchezaji huyo kwa Dola 900,000 zaidi ya Sh2 bilioni ambayo ni thamani kubwa zaidi katika miaka ya karibuni.

Habari zinasema Luis mbali na mshahara huo atakuwa anapokea posho za kufa mtu pamoja na Sh23 milioni kama pesa ya manunuzi kila msimu.

Licha ya kuwa na mchango mkubwa timu ya Taifa ya Msumbiji, Luis alikuwa mchezaji tegemeo Simba katika ligi ya ndani na michuano ya kimataifa.

Kabla ya kusaini alikuwa akihusishwa na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini lakini inadaiwa kwamba alikataa na kuchagua Ahly ambako kuna mkwanja mrefu.
 
Mishahara ya wachezaji are not secret any more.
Hebu wekeni kiasi anachopata na makato yake yote, ya wiki na ya mwezi, na take home yake.

Ikiwezekana attach salary slip zao. (Walizo sign kwamba zimesoma kwenye bank account)
 
Mijadara ya kitoto. Haya Ngoja tuanze sasa.

Mshahara wa Lionel Messi wa wiki unalipa wachezaji wote wanaocheza ligi za kusini mwa jangwa la Sahara.
 
Nasikia GSM wanamleta mwamba 👇🤣

20210806_175307.jpg
 
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
Konde boy ana thamani ya bilioni 2 sawa na 10% ktk ile bilioni 20 alizotoa Muddy kununua hisa 49% ambazo ni karibia nusu timu [emoji24][emoji24][emoji24]...NI UZUNI KWAKWELI.
 
5imba ni wangese sana aisee billion 20 unauza team tena hela yenyewe inatolewa kwa vibaba
 
By Mwandishi Wetu
More by this Author

MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri.

Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo jijini hapa ni kwamba atalipwa mshahara wa Dola 34,000 sawa na Sh80 milioni rekodi ya kujivunia Simba.

Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba kama mastaa wote wa kikosi cha kwanza cha Yanga wanalipwa Sh7milioni kama Mukoko Tonombe ni kwamba Luis kwa mwezi anawalipa wote na anabakiwa na chenji. Mshahara huo ni kadirio la juu kwani uhalisia ni kwamba wachezaji wengi wanalipwa chini ya hapo.Habari zinasema kwamba Simba imemuuza mchezaji huyo kwa Dola 900,000 zaidi ya Sh2 bilioni ambayo ni thamani kubwa zaidi katika miaka ya karibuni.

Habari zinasema Luis mbali na mshahara huo atakuwa anapokea posho za kufa mtu pamoja na Sh23 milioni kama pesa ya manunuzi kila msimu.

Licha ya kuwa na mchango mkubwa timu ya Taifa ya Msumbiji, Luis alikuwa mchezaji tegemeo Simba katika ligi ya ndani na michuano ya kimataifa.

Kabla ya kusaini alikuwa akihusishwa na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini lakini inadaiwa kwamba alikataa na kuchagua Ahly ambako kuna mkwanja mrefu.
Acheni ujinga,wewe mushahara ya wachezaji wa simba ni kiasu gani?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ok tuendelee gharama za usajili mzima wa Miquisone ni asilimia 10 ya thamani ya uwekezaji wa Billioni 20 za Mo Dewji..hiyo inamaanisha kina Luis kumi ni sawasawa kabisa na asilimia 49 ya hisa za simba....Kuchkuch hotae kawaweza kweli mikia
 
By Mwandishi Wetu
More by this Author

MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri.

Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo jijini hapa ni kwamba atalipwa mshahara wa Dola 34,000 sawa na Sh80 milioni rekodi ya kujivunia Simba.

Kwa tafsiri nyepesi ni kwamba kama mastaa wote wa kikosi cha kwanza cha Yanga wanalipwa Sh7milioni kama Mukoko Tonombe ni kwamba Luis kwa mwezi anawalipa wote na anabakiwa na chenji. Mshahara huo ni kadirio la juu kwani uhalisia ni kwamba wachezaji wengi wanalipwa chini ya hapo.Habari zinasema kwamba Simba imemuuza mchezaji huyo kwa Dola 900,000 zaidi ya Sh2 bilioni ambayo ni thamani kubwa zaidi katika miaka ya karibuni.

Habari zinasema Luis mbali na mshahara huo atakuwa anapokea posho za kufa mtu pamoja na Sh23 milioni kama pesa ya manunuzi kila msimu.

Licha ya kuwa na mchango mkubwa timu ya Taifa ya Msumbiji, Luis alikuwa mchezaji tegemeo Simba katika ligi ya ndani na michuano ya kimataifa.

Kabla ya kusaini alikuwa akihusishwa na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini lakini inadaiwa kwamba alikataa na kuchagua Ahly ambako kuna mkwanja mrefu.
Aliyeandika hii mada kama ni Mwandishi wa Habari, basi atakuwa na akili za kitoto sana. Ukisikia ushabiki maandazi ndiyo huu sasa!!

So what? Na vipi kuhusu mshahara wa Mbwana Samatta kwa mwezi! Unalipa wachezaji wangapi wa Simba? Huyo Luis mwenyewe katika mechi zake zote alizocheza dhidi ya Yanga, hakuna hata mechi moja aliyowahi kufurukuta!

Kama ilivyokuwa kwa Chama, Kagere na yule muokota makopo Morrison, wote waliishia kupuyanga na kuruka ruka tu uwanjani, ndani ya dk 90!
 
Mzee mpili aliwafunga vyuma 😃😃😃
 
Back
Top Bottom