Mshahara pamoja na makato kwa Mwalimu mwenye Degree

Mshahara pamoja na makato kwa Mwalimu mwenye Degree

Kwenye haya maisha ni kumwomba tu Mungu akupe hekima ya kufanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi. Kuna watu wana mishahara mikubwa lakini kutokana na maamuzi na vipaumbele vyao mishahara yao huisha fasta na kuishia kutaabika kinyama wakati kuna wengine wana mishahara midogo ila kwasababu ya maamuzi sahihi wanapeta. Hata sisi tunaofanya biashara kinachotumaliza sio mitaji wala nini.. ni maamuzi ya hovyo tu yanatuangamiza. KABLA YA KUMWOMBA MUNGU HELA MWOMBE AKUPE HEKIMA NA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI.
 
Mishahara ya walimu ni kidogo dunia nzima kwa bongo angalau walioko tgts g wanaanzia 1.6m akikatwa anatakiwa na 1.2m kibongobongo sio ndogo
 
Hata iwe million mbili Sasa hela gn iyo acha ushamba, mliozaliwa familia masikini zenye msoto mnafikili wote ni washamba wa pesa
Baba wa Taifa alikuwa Mwalimu lakini..

Walimu wengi wanamaendeleo.. na connection nyingi mno akili yako tu

Labda ungetuambia wewe ni nani hadi ujione unastahili kuwasema walimu
 
Mishahara ya waalimu Bado miyeyusho

Mimi winga wa hapa kkoo . Hiyo pesa nakunja within a week nikiwa serious
Mkuu Kuna teja lipo pale post Mpya linaitwa zungu daladala zote za makumbusho zinazopitia shekilango road mpaka posta linapewa buku buku Kwa siku anakunja mpaka 50000 amejenga temeke.

Ualimu ni unyoko
 
Kwenye haya maisha ni kumwomba tu Mungu akupe hekima ya kufanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi. Kuna watu wana mishahara mikubwa lakini kutokana na maamuzi na vipaumbele vyao mishahara yao huisha fasta na kuishia kutaabika kinyama wakati kuna wengine wana mishahara midogo ila kwasababu ya maamuzi sahihi wanapeta. Hata sisi tunaofanya biashara kinachotumaliza sio mitaji wala nini.. ni maamuzi ya hovyo tu yanatuangamiza. KABLA YA KUMWOMBA MUNGU HELA MWOMBE AKUPE HEKIMA NA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI.
Hili ni neno ila maamuz ya kuwa kahaba ni bora zaidi kuliko kuwa mwalimu ahsee
 
Hawa maafisa utumishi wa halmashauri wana posho gani? Acha upotoshaji
Mkuu acha ubishi, tena anachukua pesa za hapa na pale kama za hawa mabwege wanaotaka uhamisho wa haraka, mishahara imesimamishwa, kupanda daraja, recategorization, kufanyiwa connection ya ukuu wa shule, file halionekani inabidi amuhonge afisa utumishi masijala wamtafutie, kwenda masomoni anahonga Kwa afisa, yani kila kitu Kwa siku pesa za ujanja ujanja hawakosi laki mpaka laki mbili ambao ni mshahara wa baadhi ya walimu Kwa mwezi
 
Hizo siyo posho rasmi za kuzitegemea. Nlikuwa najua wana allowance zinazo eleweka kama majeshini.
 
Acha kumkatisha tamaa,familia nzima inaenda kupona hapo.
Cha msingi asiingie cwt,ajiunge chakuhawata aokoe pesa kiasi.
Ajira ya ualimu imebeba zaidi ya watumishi laki mbili,nyuma ya kila mtumishi kuna wategemezi zaidi ya kumi.
Hivyo ni idadi kubwa ya watanzania wanaenda kufaidika kupitia wachache.Kuhusu ugumu wa maisha kila mtu ashinde mechi zake
Mgao kwa kila mmoja ni kiasi gani kwa hao wategemezi
 
Back
Top Bottom