Mshahara unatoka lini? Hali ni mbaya

Chukua salary advance kama unaruhusiwa kupata 10,000 kwenda juu unatandika mkeka wako, sasa hivi Euro mechi nyingi ukipata odds nzuri unajikuta una 100,000 halafu kesho una tandika mwingine kwa hiyo laki moja mwisho wa siku unajikuta una milioni moja πŸ€£πŸ€ΈπŸ’
 
Maisha ya kutegemea mshahara tena huu wa utumishi wa umma kwa kada kama za ualimu hayajawahi kuwa rahisi...madeni kuanzia ofsini hadi mtaani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiliwa je [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…