Mshahara unatoka lini? Hali ni mbaya

Mshahara unatoka lini? Hali ni mbaya

Hizo hela Polisi wanazitoa wapi Mkuu hasa upande wa FFU!!

Labda upate lindo kulinda Bank lakini ukiona kwenye ubao umepangiwa kwenda kwa Mkuu wa Mkoa ha ha haa haa

Lakini FFU ni ngumu sana
Zawadi yako ya birthday
Screenshot_20210405-074523~2.jpg
 
Siku hizi tukiwakaba vichochoroni tunawakuta hamna hela ya maana kumbe shida mshahara nilikuwa sijajua
 
Back
Top Bottom