Mshahara unatoka lini? Hali ni mbaya

Mshahara unatoka lini? Hali ni mbaya

Daaahhh mkishapata tu hela mnakuwa vibuli kweli..mnaanza kureply kibabe wakati Mwanza mlikuwa mnatia huruma[emoji119]
[emoji16][emoji116]
Screenshot_20210624-124718.jpg
 
Mm Jana nlikuwa na 10k lang nkajitumbua value yangu kubwa ya 7000 nkajiunga na bundle la buku na fage zangu nkijua Leo salary inatoka

Daa nimekuwa mdogo hata ela ya supu sina najidungua tu mafage yangu na asira kama zote
 
Kuishi kwa kutegemea chanzo kimoja cha mapato ni shughuli pevu

Kuna mtu aliwahi kunichana akisema UKIWA MTUMISHI WA UMMA USIPOJIONGEZA USITEGEMEE KUWA TAJIRI KWA MSHAHARA WA SERIKALI...
 
Back
Top Bottom