Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

Bado ndogo kulinganisha na miaka ya kazi
mwaka 2013 mkurugenzi wangu alipostaafu alipata 150m taasisi ya serilaki. Sasa fikiria kada ya kati anapata ngapi. Ina maana huyo wa 150m kwa kikotoo cha sasa angepata 60m kama ni 40% nazani. Hli ni mbaya. Hawa ndugu zetu watachanganyikiwa wakienda pale PSSSF

ndio maana upigaji umezidi sana kila mfanyakazi anataka ajenge kabla ya kustaafu mambo yote yawe sawa. Kila mtu anapiga kla mradi unchotwa hela. Kikotoo kiNAtisha
 
Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
Mkuu, nashindwa kuweka picha.. itaka storage permission, sasa sijui namna ya ku grant hiyo permission access
 
Back
Top Bottom