Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
Formula

[1/580]×N×APE×12.5×33%

Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
 
Kwa kutumia formula hii, utapata kiwango atakacholipwa baada ya kustaafu, yaani mafao yake ya mkupuo
 
Formula

[1/580]×N×APE×12.5×33%

Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Monthly pension
Kinachobadilika:
Badala ya 33%, itakuwa 67%
Na badala ya 12.5, itakuwa 1/12
 
Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
Kabla hujafikisha miaka 60,na kustaafu hakikisha una chanzo cha kipato, pension iwe mbadala tu, kama unategemea uishi kwa pension na wewe hukua senior officer serikalini,lazima tutakuzika mapema,
 
Kutafuta pesa ya kila mwezi
Pesa nitakayolipwa kwa mkupuo mkuu
Pole sana mkuu..
Ni rahisi sana

Chukua mshahara wako wa miaka 3 ya mwisho (yaani jumla ya mshahara wako kwa mwaka) gawanya kwa 3.. utapa APE

Hesabu idadi ya miezi tangu uanze kuchangia hadi ku staafu kwako, hapo utapata N

Ingiza kwenye formula.. hizo zingine ni constant variables..pita nazo hivyo hivyo
 
Nikistaafu lazima kiinua mgongo changu ninunue trekta la kulima mashamba yangu tu.

Nataka nikapige kazi kijijini.
Sikodishi kwa mtu lisije likaharibika.
Napiga kazi miaka mitatu na kujihakikishia ushindi.

Massey Ferguson used.
 
Back
Top Bottom