Tanzania Norway
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 321
- 640
Kwahyo mkuu unataka daktari nae aproduce mtu aache wagonjwa wafe au unamaana gan huyo mtu wa anga na tanesco akiumwa si anatibiwa na daktar ambae unaona hazalishi??TANESCO wanazalisha Megawatt za umeme wanatuizia kwa unit. Kwann wasilipane pesa nyingi. ATCL wanafanya biashara ya usafiri wa anga kwanini wasilipane fedha nyingi. Walimu na Madaktari hawawezi kulipwa fedha nyingi kwasababu they are not producing kama hao wengine. Watulie walipwe malipo yao ya wito.
Pole ndio maisha, msiridhike, amkeni mpewe heshima mnayostahili. Lazima tuwadharau maana mpo comfortable na umaskini. Mna majina makubwa lakini mifuko mitupu. Shame, mnazidiwa ata na kina baba levo na mwijaku. Mjitafakari mmekosea wapi. Serikali yenuWalimu walianzia mbali kudharauliwa kwa watu kuchunguza mishahara yao na maisha yao .
Sasa mkuu paqwa kuanzia leo ikitokea tukadharauliwa mahali popote sitasita kukukumbuka kwa ubaya huu uliouanzisha ila pia sitasita kuzijuza Pannel muanzilishi wa madhira hayo .
Alafu mdogo wangu Mamndenyi hizi kazi bila pombe wewe kuweza ?
Jf Raha sanaWe bwege muongo. Unaishi Chicago hata kuspel Pennsylvania hujui. Wewe Ni mchoma chapati tu hapa Kariakoo.
Dental ina helaa kwa sasa ndo Faculty iliyobakia kuwa na sokoo...!! Ulishtuka mapemaa mkuu hongeraa snaaa...Jana nimeona mtu anapost anataka mtoa huduma ya dawa na atamlipa lak1.2,mimi ni assistant dental doctor nakula 8.5private bila makato bado siridhiki natamani niruke japo botswana..japo kuna brother mmja rafiki yangu yupo australia ananisihi sana niongeze elimu ila kila nikifikiria miaka mi5 elimu yenyewe ya kubangaiza naona jau. anadai watu wa afya wanathaminiwa mno kwenye mataifa ya wenzetu na uraia nje nje.....
Shwaaaaaaaaaaaaaaa....
Faculty tena?Dental ina helaa kwa sasa ndo Faculty iliyobakia kuwa na sokoo...!! Ulishtuka mapemaa mkuu hongeraa snaaa...
Ndo ngazi gani Tena hii🤣🤣🤣🙌Ngazi ya zuena
Manager madaktari wanazalisha watoto, wanazalisha matumaini na kuhakikisha wanatoa elimu juu ya kuzuia magonjwa mbali mbaliMshahara unatokana na kile unachokizalisha hao madaktari wanazalisha nini mpaka waongezewe
Kwan hizo risk katika kazi nyingine ukinusurika unaenda kwa nani akusaidie ?Kwani kazi za risk ni za afya pekee?
Watu wa afya mnajikutaga spesho sana.
Ni kweli boss, ila mimi nimeongelea kibiashara boss. Chukulia mfano mtu anzalisha tani 3 za dhahbu kwa mwezi. Mwingine anazalisha lita mapipa 100 ya bia kwa mwezi. Chukulia mwingine anazalisha tani 200 zza mbolea kwa mwezi. Chukulia mwingine anazalisha million 500 kwa mwezi. Maelezo yangu yamelenga hapo. Hata kama tukisema tumwonee huruma huyu daktari kwa ukubwa wa kazi anayofanya lakini bado tutahitaji budget. Budget inatoka kwenye kile ulichoingiza.Manager madaktari wanazalisha watoto, wanazalisha matumaini na kuhakikisha wanatoa elimu juu ya kuzuia magonjwa mbali mbali
Hatuombei.... ila siku mvua ikikunyeshea utajua umuhimu wa mwamvuli.
Hazalishi ila anapambana wewe uwe safi uzalishe indirectly analinda nguvu kazi. Kwani mkurugenzi wa nssf anazalisha nini?Ni kweli boss, ila mimi nimeongelea kibiashara boss. Chukulia mfano mtu anzalisha tani 3 za dhahbu kwa mwezi. Mwingine anazalisha lita mapipa 100 ya bia kwa mwezi. Chukulia mwingine anazalisha tani 200 zza mbolea kwa mwezi. Chukulia mwingine anazalisha million 500 kwa mwezi. Maelezo yangu yamelenga hapo. Hata kama tukisema tumwonee huruma huyu daktari kwa ukubwa wa kazi anayofanya lakini bado tutahitaji budget. Budget inatoka kwenye kile ulichoingiza.
Ni kweli ila kulingana na mfano ulio utoa maana yake ni kua kila taasisi ilipe watumishi wake kulingana na kile wanacho kizalishaNi kweli boss, ila mimi nimeongelea kibiashara boss. Chukulia mfano mtu anzalisha tani 3 za dhahbu kwa mwezi. Mwingine anazalisha lita mapipa 100 ya bia kwa mwezi. Chukulia mwingine anazalisha tani 200 zza mbolea kwa mwezi. Chukulia mwingine anazalisha million 500 kwa mwezi. Maelezo yangu yamelenga hapo. Hata kama tukisema tumwonee huruma huyu daktari kwa ukubwa wa kazi anayofanya lakini bado tutahitaji budget. Budget inatoka kwenye kile ulichoingiza.
Hao wote anao waona wa muhimu wamepita katika mikono ya daktari na akahakikisha wamepata chanjo zote n.kHazalishi ila anapambana wewe uwe safi uzalishe indirectly analinda nguvu kazi. Kwani mkurugenzi wa nssf anazalisha nini?
Ni kweli bossNi kweli ila kulingana na mfano ulio utoa maana yake ni kua kila taasisi ilipe watumishi wake kulingana na kile wanacho kizalisha
Ila kwa mifumo ya afya huwezi kufanya yote hayo pekeyako na gharama za uendeshaji ni kubwa sana maana hii ni huduma sio biashara sabab hapa wana sell hope etc ambacho kuna wakati hata pesa yako iwe nyingi kiasi gani unaweza usiipate pia
Ili hao wote waendelee kuzalisha na wawe na ufanisi katika kazi zao, inabidi wawe na Afya njema kimwili na kiakili.Ni kweli boss, ila mimi nimeongelea kibiashara boss. Chukulia mfano mtu anzalisha tani 3 za dhahbu kwa mwezi. Mwingine anazalisha lita mapipa 100 ya bia kwa mwezi. Chukulia mwingine anazalisha tani 200 zza mbolea kwa mwezi. Chukulia mwingine anazalisha million 500 kwa mwezi. Maelezo yangu yamelenga hapo. Hata kama tukisema tumwonee huruma huyu daktari kwa ukubwa wa kazi anayofanya lakini bado tutahitaji budget. Budget inatoka kwenye kile ulichoingiza.