Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Hiyo kozi kweli sio poa. Kuna dogo wangu mmoja hadi namwonea huruma anavyohangaika. Six alipiga one ya 7
Petroleum na hayo aliyokua anayasolve ni vitu viwili tofauti boss. Labda angesoma Electrical au Telecommunication ndio angeweza kukutana na hizo physics za five na six. But petroleum anaanza kujifunza kama mtoto.
 
Meneja wa uuaji wa makampuni aingie partnership na huyo mdogo wako wapige hela
Huyo meneja mpuuze ana stress. Kuna uzi wake tulimkosoa alipost mfano wa barua ya kuomba kazi... ile barua ilikuwa ya hovyo. Ana uzi mwingine anaodai kwamba anataka kusimamisha masomo yake ya Phd akagombee ubunge huko kwao huku akiwa hajui mambo mengi ya hilo jimbo. Ana nyuzi nyingi ukizisoma utagundua Meneja ana stress.
 
Petroleum na hayo aliyokua anayasolve ni vitu viwili tofauti boss. Labda angesoma Electrical au Telecommunication ndio angeweza kukutana na hizo physics za five na six. But petroleum anaanza kujifunza kama mtoto.
Mkuu humjui Kiombo kuna-presentation alifanya peke yake darasa zima limeshindwa.
Ndio maana alikuwa anasema wa kwanza Mungu, wa pili mzungu wa tatu ni yeye
kwa wenye akili
 
😂😂😂😂😂Boss huwezi kunielewa Mimi. Kuandika nyuzi ni kazi yangu ya kwanza hapa duniani boss. Hapa natamani kudondosha uzi mwingine sema muda ni changamoto.
 
Na kuhusu masomo nilisha simamisha boss. Nina mambo mengi ya kuyakamilisha hapa nchini kabla sijaenda kumalizia hiyo elimu. Likiwemo hilo la ubunge 2025 napeperusha bendera.😂😂😂😂Alafu useme kazi hazipo kugombea tu unaogopa na kugombea ni bure. Kuchukua form nako unaogopa.
 
Hakuna noma jomba. Cha muhimu usivunje tu sheria za Mungu na za jamhuri. Kama ni stress kila mtu anazo.
Sijawahi kuwa na stress. Hili ni jukwaa la kuandika kama huwezi kuandika maana yake huna cha kuandika. Hatupo humu kusemana wala kupima emotions za mtu. Hizo ni dalili mbaya katika maisha kwa mtu mzima na msomi. Kama uzi unasoma hujauelewa unaachana nao na kufungua mwingine. But usiwachunguze watu, jifunze zaidi hapa ni mahali kujifunza sio kubishabisha.
 
Kwahyo wote tuende kuwa maafsa TRA au mainspector wa uwura na masupavaiza na mameneja Tanesco kwasababu shabaha ni pesa?

Je nchi itakuwa na taswira gani kwenye soko la ajira? Noo nchi haiendeshwi hvyo! Hatutengenezi usawa bali matabaka.

Resources za umma na mgawanyo lazima uzingatie umuhimu wa kila sekta kwa kuzingatia uwiano wa 1:2

Wakiacha kufanya kazi hawa mtakufa nyinyi acheni dharau.
 
Specialist na Bingwa Wana tofauti ipi Mkuu??
 
Nashauri madaktari walipwe kwanzia m3 kwendelea
Kwani wanaingiza sh ngapi au ni watumiaji kama watumiaji wengine?

Watu wanalipwa kutokana na productivity yao hii ndio kanuni ya uchumi, ndio maana madaktari wa local government wanalamba malaki kwenye international organizations au corporate wanalamba millions.
 
Kwani kazi za risk ni za afya pekee?

Watu wa afya mnajikutaga spesho sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…