Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Hapo nilitoa mfano wa hospital ndogo boss. Embu jaribu kulinganisha na EWURA anayechukua percent kwenye kila lita ya mafuta.
EWURA ni Hela ya serikali wale ni wasimamizi tu, mfanyabiashara anatoa hela kwa sababu analipia serikali ili apate maendeleo

Kwa Daktari watu wanalipia ili wapate ule ujuzi wake.
 
EWURA ni Hela ya serikali wale ni wasimamizi tu, mfanyabiashara anatoa hela kwa sababu analipia serikali ili apate maendeleo

Kwa Daktari watu wanalipia ili wapate ule ujuzi wake.
😂😂😂😂😂😂😂😂acha utani
Unataka kujua wanazalisha nini Well nikupe tu mfano mdogo BMC kwa mwezi wanaingiza karibia 3B!!

Bado unataka kujua kingine!?
Wahapo watakua wanalipwa zaidi lkn sio hapa kwetu Mtwara
 
Kwa serikali 1mil to 5m(nasikia sina uhakika)

Kwa private 2m hadi 7m(sina uhakika nasikia )

Kwa NGOs 2m hadi 16m specialist advisors hadi 20m

Kwa international organiztn mil 6 hadi 25m

Hizo ni gross kwa experience ya kupitapita kwa watu na exposure

Hizo ni makadirio sijaweka exactlly



Ndio maana madaktari wanakimbilia provate


Serikali kweli iwajali waalimu na madakrari


Maoni tu
 
Unadhani lingekuwa shirika binafsi linapata hasara lingeendelea au lingefungwa!?
Hiyo hela wanayojilipa inatoka kwa shirika au walipa kodi!?
Wewe unaweza kutoa hela ya nyumbani kwako umlipe muuza duka/ mfanyakazi wako
mamilioni wakati duka linapata hasara!?
Sio lazima ucomment kama huelewi mambo true capitalist
Ulishawahi kufanya biashara mkuu?

Makampuni huwa yanajiendesha kwa hasara kwa muda mrefu kabla ya ku break even then ndio yanaanza kutengeneza faida.
 
Hio ni hela ameingiza daktari, Kuna source nyengine za hela, daktari akimuandikia mtu dawa Ile faida inaingia hospital, vipimo ni faida ya Hospital pia.
Kwamba watu 50 watoe elfu 20 kama consultation fee pekee bado vipimo.

Yaani hiyo hospital daktari mmoja anaingiza million consultation pekee, maana wakiwa zaidi ya mmoja means tayari kipato kinagawanyika. Basi hapo patakua na mzunguko mkubwa sana, na either we ni specialist au Hosp kubwa ambapo both scenarios utakua unalipwa pakubwa sio sawa na ma MD wa local government.
 
Back
Top Bottom