Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Natamani siku moja Serikali ifute kabisa Posho badala yake Izihamishie zooote kwenye Mishahara
watu walipwe mishahara yenye uhalisia na sio kiini macho
Hivi kuna haja gani umlipe mtu mshahara wa laki 8 na 50, halafu mwisho mwezi Umpatie Milioni mbili?
Kwanza mfanyakazi anakosa PSSF, Lakini pia Serikali Kuonekana inalipa Kidogo wakati ukweli ni kuwa inalipa mishara Mizuri.
Huko Private Sector hakuna maposho ya kujiachia na ndio sababu mishahara huonekana ni Mikubwa
 

Police degree holder.. anaanza na nyota moja. mshahara wake plus posho yake ya chakula inamfanya awe na kipato kikubwa kuliko daktari mwenye degree mwisho wa kila mwezi.

Hapo hujaweka pesa za pembeni.. maana polisi ana fursa ya kupata pesa ya pembeni kuliko daktari
 
Hoja ya kipumbavu kabisa, siku akiamua kutotibu hao wagonjwa 50 kwa siku na yeye akafanye inspection ya mafuta patakalika hapa. Mbona wakigoma kufanya kazi nusu saa tu makelele kila kona.......umewahi hata kufikiria siku unaumwa jino umkute daktari kaenda kupiga mishe nyingine za kutafuta mshiko zaidi ili naye awe kama inspector wa EWURA, acheni mizaha kwenye mambo ya msingi....​
 
Ndio sh ngp hio Mshahara + Posho
 
Unazungumzia daktari yupi?
Maana huku mikoani wamejaa matabibu ama lliniko ofisaz kama wote ila nao wakifika kwa wanakijiji wanajiturumua kwa kujiita madaktari.

Labda tumuulize dk Year maana nayeye ni kama hao
 
Ukikuta co amejitutumua na mamikoti na mamiwani utadhani ana phd ya udaltari kumbe form 4 tu
 
Hilo natambua mkuu!!! Na sikuhizi sio lazima uanze na hilo jiwe mshahara unabadilishwa kulingana na level ya elimu yako kwanz
 
EWURA ndio moyo wa uchumi wa hili taifa.
 
Ndg police degree holder hawez kumfikia dr pamoja akijumlisha na posho yake ya mwezi..mishahara Yao ni kawaida tu mbna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…