Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

Unajiajiri mbona yapo maeneo mengi sana ya kujiajri. Ni ujuzi wako tu.
Usiwadanganye mkuu hii kozi amesoma hayati Kiombo akaishia kuwa mwalimu fedha na tuition yake,
Kuna vijana wengine wawili waliajiriwa kule mtwara alipoingia Magufuli project ikaisha mmoja alienda
kuomba kufundisha tuition kwa maiko mwingine aliinvest vizuri mafao yake ya 200mil.
Juzi hapa kuna kijana alikuwa second year kutafta field tabu sasa amebadili anasoma teaching.
Hao wote walikuwa na one za tatu, nne pcm
 
Hawa ni wazembe waite mimi niwasaidie eneo lililowazi la kujiajiri. Watapiga hela mpaka wasahau. Tatizo mindset ya kuajiriwa ndio inaharibu vijana. Lakini kiukweli kujiajiri ndio kunakufanya utoke hata kama umeajiriwa.
 
Hao wote ni vichwa nilikutajia mkuu sasa wameshindwa kujiajiri
kama unania ya kuwasaidia nenda udsm utengeneze nao partnership mpige hizo hela unazosema
Kiombo baba na mama walikuwa maprof lakini akaishia kuwa nwalimu
 
TANESCO, ATCL ni mashirika yanayoongoza kwa huduma mbovu na hasara lakini mtu mwenye
diploma huyo MD haoni ndani
TANESCO wanazalisha Megawatt za umeme wanatuizia kwa unit. Kwann wasilipane pesa nyingi. ATCL wanafanya biashara ya usafiri wa anga kwanini wasilipane fedha nyingi. Walimu na Madaktari hawawezi kulipwa fedha nyingi kwasababu they are not producing kama hao wengine. Watulie walipwe malipo yao ya wito.
 
Hao wote ni vichwa nilikutajia mkuu sasa wameshindwa kujiajiri
kama unania ya kuwasaidia nenda udsm utengeneze nao partnership mpige hizo hela unazosema
Kiombo baba na mama walikuwa maprof lakini akaishia kuwa nwalimu
Kiyombo (TO 2006) nimesoma naye mwaka mmoja, alikua anapenda kufundisha tu alafu wala hakua kichwa kama unavyodhania ndani ya hiyo petroleum. TO wa mwaka 2013 yupo Pan African anapiga 13M kwa mwezi. Wengi wameajiriwa na wengine wamejiajiri ambao bado ni uzembe wao tu. Na wengine waliendelea na shule.
 
TANESCO wanazalisha Megawatt za umeme wanatuizia kwa unit. Kwann wasilipane pesa nyingi. ATCL wanafanya biashara ya usafiri wa anga kwanini wasilipane fedha nyingi. Walimu na Madaktari hawawezi kulipwa fedha nyingi kwasababu they are not producing kama hao wengine. Watulie walipwe malipo yao ya wito.
Mkuu nilikuwa najua unaakili kumbe zero brain!?
Ushaona wapi kampuni inatanganza hasara kila mwaka ya mabilioni lakini
wafanya kazi wake wanaongoza kwa mishahara!?
Duka lako kila siku lina pata hasara lakini mfanyakazi wako anajiipa mamilioni!?
wewe uko kwenye kundi la bureaucratic capitalist kama madelu na sio
real capitalist
 
Kiyombo (TO 2006) nimesoma naye mwaka mmoja, alikua anapenda kufundisha tu alafu wala hakua kichwa kama unavyodhania ndani ya hiyo petroleum. TO wa mwaka 2013 yupo Pan African anapiga 13M kwa mwezi. Wengi wameajiriwa na wengine wamejiajiri ambao bado ni uzembe wao tu. Na wengine waliendelea na shule.
Mkuu umesoma nae Tosamaganga au Udsm!?
Humjui Kihombo wewe
 
Sasa jamani unafanya kazi kwenye hospital inatibu wagonjwa 50 kwa siku, kila mgonjwa analipia elfu 20. Unataka kwa mwezi ulipwe Millioni 3 kweli?. Hizo hela za kukulipa hiyo pesa serikali inazitoa wapi.
Mwenzako anafanya kazi EWURA kama inspector, kila kwenye lita moja ya mafuta EWURA inachukua percent yake. Kila lita moja. Kwanini wasiwalipe wafanyakazi wao pesa ndefu?
50x20,000 hii ni milioni, kwa siku 30 ni milioni 30. Ni pesa ndefu Sana kuingizwa na mtu mmoja.
 
Usiwadanganye mkuu hii kozi amesoma hayati Kiombo akaishia kuwa mwalimu fedha na tuition yake,
Kuna vijana wengine wawili waliajiriwa kule mtwara alipoingia Magufuli project ikaisha mmoja alienda
kuomba kufundisha tuition kwa maiko mwingine aliinvest vizuri mafao yake ya 200mil.
Juzi hapa kuna kijana alikuwa second year kutafta field tabu sasa amebadili anasoma teaching.
Hao wote walikuwa na one za tatu, nne pcm
Hiyo kozi kweli sio poa. Kuna dogo wangu mmoja hadi namwonea huruma anavyohangaika. Six alipiga one ya 7
 
Hayo mengine ya hasara kiukweli mimi siwezi kuyajua. ATCL imean

Nimesoma naye UDSM boss. Petroleum ni kozi yenye mambo mengi sana. Physics, Chemistry, Geology, Mathematics. Kihombo alikua vizuri zaidi kwenye Mathematics.
Never undermine human stupidity,
Uko Tanzania hii hii na hujui TANESCO na ATCL ni makampuni yanayojiendesha kwa hasara
kwa mda mrefu, na wafanyakazi wake wanalipwa kodi zetu na sio faida ambayo
hawajawahi kutengeneza!?
Sitashangaa na wewe una MBA na kujipa jina ambalo nikinyme chako yaani ulitakiwa
kujiita muuaji wa makampuni kama madelu muuaji wa uchumi.
Kuhusu Kiombo waulize waliosoma nae au alio wafundisha hajawahi kushindwa swali la physics
na vitabu vyake wanao nunua wengi huishia kusolve mifano
 
Back
Top Bottom