Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

Anazidiwa hadi na WafanyaBiashara wa kkoo ambao hawajasoma hata. Watu kwa mwezi Faida wanaingiza hadi 50m
 
Kiinua mgongo cha walimu sita kwa pamoja na wamekisotea zaidi ya miaka 28 kwa shida na tabu, enzi zile kabla ya zama za ushetani wa kikokotoo. Kumbe ni mishahara wa mtu wa mwaka duh yote maisha.
Matajiri wa jf wanakuambia hiyo pesa ndogo
 
Kaka unasema huo mshahara mkubwa njoo bongo kuna mkuu wa mkoa anakunja 3.5m per month lakini anaendesha gari ya mwaka 2024 lanrover defender ya milioni 450
 
Uzuri wa nafasi hiyo ni cash atakayoingiza kwa safari, workshops nk
Afu ni hela ambayo akiingiza hagawani na MTU kama ilivyo kwenye ubunge - chama Mkoa, Wilaya, Kata zote - matawi yote - na individuals
WHO ni sehemu tulivu
 
WHO siyo kampuni binafsi
Kwani wengine kwa level yake wanalipwa sh ngapi
 
Kwani Regional Director wa WHO wengine wanalipwa sh ngapi? Au umelinganisha na manesi wa US tu
 
Tena wengine ni wa mashirika ya umma nchini.
 
Milioni 360 kwa mwaka ni hela ndogo mkuu? Watanzania wangapi unaowajua wanaingiza hiyo hela?
Una tatizo kwenye kuelewa CONTENT na CONTEXT.

Kulingana na CONTEXT ya mada yako hio pesa ni ndogo sana tulitegemea iwe kwa mwezi ndio uzi wako ungekuwa VALID kulingana na Status ya jamaa, Shirika, position na uzi ulivyoweka kwa kishindo ilibidi 300M uqe mshahara wa mwezi ila mqisho wsiku eti 30 Million kwa mwezi sasa hii pesa ya kuandika uzi kwa ukubwa namna hii ukizingatia na Factors zote hapo juu.
 
364÷12~30.3 m per month!
Kama haikatwi,anapata privileges nyingine kama an
nyumba bure,usafiri bure nk
 
Unalinganisha na CEO wa bank?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…