Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hivi mkuu kazini kwako hamna chochote kitu cha kupunguza ukali..?maana jamaa yangu yupo tbs yaani anasema anakaaga hata miezi 9 bila kugusa salary
TBS unyama sana. Kwanza wanakula breakfast na lunch kazini wale.

Bado kwenda home na sample zilizoletwa kupimwa ubora.

Plus posho na mishahara minono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…