Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kuna kampuni nyingine kila kitu wanatoa Chakula, vocha, usafiri,malazi yaani unakuta mfanyakazi hata tarehe ya mshahara hawazi pengine akumbushwe kutuma pesa kwa familia
 
Hivi mkuu kazini kwako hamna chochote kitu cha kupunguza ukali..?maana jamaa yangu yupo tbs yaani anasema anakaaga hata
miezi 9 bila kugusa salary
bora yao. ni kwel kuna taasis maisha mazur. wengine wanasubiria mshahar walipe maden kwa mang na kukopa tena
top up
 
Back
Top Bottom