[emoji23] hongera mkuu ...embu nenda kapate hata nyama choma na bia ujipozeHatimaye nimepataa nafikiri saivii wote wamepata sasa
Ahsante mkuu ila Mimi ni ajira mpya ndio maana nilikuwa na hofu[emoji23] hongera mkuu ...embu nenda kapate hata nyama choma na bia ujipoze
Patamu hapoSasa ndugu zangu tumeingia mwezi dume 🐼
😂😂😂Ndio kwanza tarehe 02 ila natamani iwe tar 20.
Tarehe 22 mkuu uhakikaWakuu, Wazee kwa kubashiri kesho mama naweza kucheka, Kuna mshikaji wangu namdai
Huna unae mdai sema ni wewe ndio unasubiri mshaharaWakuu, Wazee kwa kubashiri kesho mama naweza kucheka, Kuna mshikaji wangu namdai