Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mishahara huwa inaingia kwa batch number jamani. Sio kwamba ukiwa na Acc NMB basi Tanzania nzima wenye acc NMB wote wanapata kwa pamoja. Ndo maana wengine wako CRDB wameshapata wengine bado
 
Nimekuelewa mkuu ngoja niendelee kuwa mpolee
Mishahara huwa inaingia kwa batch number jamani. Sio kwamba ukiwa na Acc NMB basi Tanzania nzima wenye acc NMB wote wanapata kwa pamoja. Ndo maana wengine wako CRDB wameshapata wengine bado
 
Unajua sana kuuchangamsha huu uzi😂
ephen_ na mimi babu yako mpaka muda huu bila bila! Siku ya pili hii nimejifungua ndani. Hebu fikiria na bibi yako angekuwa hajishughulishi na kilimo, ingekuwaje hapa nyumbani!! Halafu kazi yenyewe eti ni hii ya kulinda mageti ya Halmashauri miaka nenda!!!
 
Naona unaninyima sikukuu kiujanja
 
Mbo

nna

Mbona Mimi kwangu bado Kuna shida gani au ndio unaendelea kuingia
Dah! Comrade inaonekana umeandika huu ujumbe ukiwa katika majonzi makubwa, na hasira kali sana. Ni serikali ya ccm hii ndiyo inakufanyia hivi. Na mwakani eti inakutaka uipe ushindi wa kishindo!
 
Mishahara huwa inaingia kwa batch number jamani. Sio kwamba ukiwa na Acc NMB basi Tanzania nzima wenye acc NMB wote wanapata kwa pamoja. Ndo maana wengine wako CRDB wameshapata wengine bado
Alaaaa kumbe...
Ngoja niendelee kusubili
 
Back
Top Bottom