Sean Paul
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,330
- 3,289
Janammelipwa lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Janammelipwa lini?
Hata mimiKwangu bado
Kwani mnafanya kazi wapi mazee?Hata mimi
Acha ushenzi kuropoka hovyo sasa kama umelipwa inasaidia nini.Wanajeshi tumeshalipwa.
Soma tena kichwa cha uzi, mpumbavu wewe.Acha ushenzi kuropoka hovyo sasa kama umelipwa inasaidia nini.
Stay low key.
Tuko kwenye Idara zisizohusu ulinzi na usalamaKwani mnafanya kazi wapi mazee?
Ata mimi nimeuona acha ntafute nauli maana likizo ishaisha.Maokoto tayari NMB ila mliopo kazini msitoroke tafadhali.
mshara wa january makamba unakuhusu nini?Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Mzee haujapata tu?